Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba nipe condition za kucash out kwa mkeka bet....1xbet cash out yao ina masharti sana
Yanii mkekabet unaingia sehemu kabisa wamekuandikia Cash out unatoa pesaa unatulia...!! Inakubalii faster tuu.. ILAA MPAKA WAANDIKE CASHOUT WENYEWE..
 
Yanii mkekabet unaingia sehemu kabisa wamekuandikia Cash out unatoa pesaa unatulia...!! Inakubalii faster tuu.. ILAA MPAKA WAANDIKE CASHOUT WENYEWE..
So ikiwepo tu unaweza cash out.....maana kwenye 1x inaweza kuwepo sell ila ukashindwa kusell ndio maana nikataka kujua kuna masharti gani
 
Every little helps brothers, bet in play imeniokoa.
c95be9dc50ad03e1275cb2000ae74697.jpg
 
Nenda juu katikati kabisa utakuta pameandkwa "SPORTS"

ukishabonyeza, utaletewa michezo ya aina zote.

Chagua " football"

Ukishabonyeza , utaletewa mechi zikiwa zmepangwa kutokana na ligi zao.

Chagua ligi unayoitaka, ingia

Utazikuta mechi nyingi, za leo na za tarehe za mbalimbali zijazo.

Double click kwny mechi husika kwa juu kidogo ya yale machaguo matatu ya awali ya 3-way

Baada ya mechi kufunguka,
Unaweza kuscroll kushoto na kulia Yale machaguo ya juu ukianzia kwny "Regular time", 1 half, 2 half corner, yellow card, shots on target, foul, throw ins, assist, nakadhalika

NATUMAI UMENIELEWA
Nimekuelewa vzr na nimeona thank you so much Mkuu
 
Back
Top Bottom