Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Leo Nitatulia maana Kanji Kazidi kupiga
Pole sn chiefLeo Nitatulia maana Kanji Kazidi kupiga
Ukicash out unapewaa hela Ndogo kuliko ilee uliyotakiwa kupataa..mfano me jana nlitakiwa kushinda 10000 lakini nkaona mechi nliyobetia inaenda vibaya nikacash out nkapewa 2500... Imenisaidia maana ningesubiri mpaka mwisho mkeka ungeliwaaJaman mzoefu wa kukesh out anisaidie iv unapocash out stake yako inarud km ilivyo au inakuaje!
Dah,Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubet
Nakushauri,Mhindi alichonifanya kuanzia jmosi.... j2...j3...j4 sina hamu yaani unakuta timu moja or mbili ndio zinaharibu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Unapo cashout huwa inategemea na tukio lenyew.Jaman mzoefu wa kukesh out anisaidie iv unapocash out stake yako inarud km ilivyo au inakuaje!
Kweli kabisa mkuu... ndio nafikiria kufanya hivyo kuanzia leo Hii " maximum match kwa siku zitakuwa 3 maana nilijiwekea malengo ya kila siku kulaza elfu 15-20...Nakushauri,
Punguza wingi wa mechi mkuu
Cheza mechi 2 mpk 3 kwny mkeka mmoja
Hii kazi haihitaji tamaa ya odd nyingi mkuu.
Nishapoa tayari Mkuu....Pole twin wangu.....u will make it
Hill ndio LA msingiKweli kabisa mkuu... ndio nafikiria kufanya hivyo kuanzia leo Hii " maximum match kwa siku zitakuwa 3 maana nilijiwekea malengo ya kila siku kulaza elfu 15-20...
Naona kwa siku tatu hizi mambo hayakunyooka itabidi nije na mpango mathubuti na mpango wenyewe ni kuweka timu tatu na stake ya maana....
Inabidi u cash in ..just kdn ngoja mpwaa d aje mkuuWakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Ndio kuna condition zake. Kwa 1xbet ukiona kwenye mkeka wako kuna neno sell na kiwango cha pesa ndio hela utayoweza kucash out. Usipoiona huwez cash out. Pia waweza ona neno sell na usiweze kucash out kama tu odds za mkeka wako zimebadilika. Cha kufanya rudia rudia mara kwa mara hadi utapofanikiwa.Wakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Inategemea,Wakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Cashout inacheza na muda ndgu, kuna mda inatokea has a mara nying kukiwa na mabadiliko ya matokea, mfano kam ulichagua btts afu timu moja ikashinda huwa inatokea, ila kweny dk za katkat ya mpira mfan dk 60-75 piah, lakn najua huwa inakuja kwa mda tuWakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Naomba nipe condition za kucash out kwa mkeka bet....1xbet cash out yao ina masharti sanaUkicash out unapewaa hela Ndogo kuliko ilee uliyotakiwa kupataa..mfano me jana nlitakiwa kushinda 10000 lakini nkaona mechi nliyobetia inaenda vibaya nikacash out nkapewa 2500... Imenisaidia maana ningesubiri mpaka mwisho mkeka ungeliwaa
Bet wonBayern win
Tennis
Monfils win
Thiem win
Kerber win
Sure 2.2 odds
Dah nilichelewa huu.. Sio kesi*****BET WOON*****
HONGER sana mlonifata ktk huu mkeka.