Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naomba kujua cv ya 1xbet maana nmeiangalia leo kwa mara ya kwanza naona ina odds nyingi sana na nzuri. Vipi kuhusu kuwithdraw pesa hawasumbui? Na wanachukua muda gani kuingiza pesa kwenye mobile money account?(tigopesa specifically) Thanx in advance [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
f942139af01e41b2bb842219334de44a.jpg
 
KUMEKUCHA WAZEEEEEEEEEEE WAKUBETI BEBA ZINAZO FAA PIA KUJIONGEZA MUHIMU
SIO LAZIMA UKOPI MAZIMA UNAWEZA CHANGE KIDOGO

==================================
BRENTFORD VS. BIRMINGHAM CITY (BRENTFORD WIN)
ASTON VILLA VS. PRESTON NORTH END (1.5 OVER)
BAYERN MÜNCHEN VS. BEŞIKTAŞ (2.5 OVER)
TROYES VS. DIJON (1.5 OVER)


Leo
Mapema
Sana
Huu
Mkeka
Umetupiga
Za
Uso
 
MKEKA WA PESA No.1
,,
Odds: 2.21

Stake: 60,000 Tsh
Marejesho: 126,000 Tsh

Nb: uyo wa mwisho ni England southern premiershp

Mapambano yanaendelea
2018-02-20-22-20-28.jpg
 
leo nimetafuta odd mbili za kuweka 30,000 kwenye uefa nimekosa, game haziaminiki, nimeamua kutoka hivi

Bayern munich vs Besiktas
Besiktas win first half
odd 11
stake Tsh 10,000/=
 
MKEKA WA PESA No.2

Odds: 2.3

Changamka fasta kabla game hazijaanza.

Am sorry sn kwa kuuchelewesha wakuu

Mapambano yanaendelea
2018-02-20-22-38-19.jpg
 
leo nimetafuta odd mbili za kuweka 30,000 kwenye uefa nimekosa, game haziaminiki, nimeamua kutoka hivi

Bayern munich vs Besiktas
Besiktas win first half
odd 11
stake Tsh 10,000/=
Hii bestikas away team over 0.5 goals odds 2.5
 
Back
Top Bottom