Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman mzoefu wa kukesh out anisaidie iv unapocash out stake yako inarud km ilivyo au inakuaje!
Ukicash out unapewaa hela Ndogo kuliko ilee uliyotakiwa kupataa..mfano me jana nlitakiwa kushinda 10000 lakini nkaona mechi nliyobetia inaenda vibaya nikacash out nkapewa 2500... Imenisaidia maana ningesubiri mpaka mwisho mkeka ungeliwaa
 
Dah,
Unatia cm aina gani?

Smart phone au ya kawaida
 
Jaman mzoefu wa kukesh out anisaidie iv unapocash out stake yako inarud km ilivyo au inakuaje!
Unapo cashout huwa inategemea na tukio lenyew.
Kwa mfano kama ulichagua timu ukaipa over 1.5 afu dk ya 70 bado bilabila hua unapata hela kidgo, kama ulichagua over 1.5 ni dk ya 70 afu goli ni moja bila hela inakuwa na faida kidgo kulingana na mda wa kucashout. Hapa ninetumia mfano wa timu moja ila nadhan ukiwa na timu zaid ya moja ndo huwa unaiona inavyofanya kazi
 
Nakushauri,
Punguza wingi wa mechi mkuu

Cheza mechi 2 mpk 3 kwny mkeka mmoja

Hii kazi haihitaji tamaa ya odd nyingi mkuu.
Kweli kabisa mkuu... ndio nafikiria kufanya hivyo kuanzia leo Hii " maximum match kwa siku zitakuwa 3 maana nilijiwekea malengo ya kila siku kulaza elfu 15-20...

Naona kwa siku tatu hizi mambo hayakunyooka itabidi nije na mpango mathubuti na mpango wenyewe ni kuweka timu tatu na stake ya maana....
 
Hill ndio LA msingi
 
Wakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
 
Inabidi u cash in ..just kdn ngoja mpwaa d aje mkuu
 
Wakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Ndio kuna condition zake. Kwa 1xbet ukiona kwenye mkeka wako kuna neno sell na kiwango cha pesa ndio hela utayoweza kucash out. Usipoiona huwez cash out. Pia waweza ona neno sell na usiweze kucash out kama tu odds za mkeka wako zimebadilika. Cha kufanya rudia rudia mara kwa mara hadi utapofanikiwa.
 
Wakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Inategemea,
Kuna kipind ukishakua too late,

Lazima cash out itagoma
 
Wakuu habari za asubuhi...... Samahani wadau....... hii cash out mbona kwangu haikubali? Au mpaka kuna conditions lazima utimize ndio uweze ku kash out?...... Ufafanuzi kidogo wadau
Cashout inacheza na muda ndgu, kuna mda inatokea has a mara nying kukiwa na mabadiliko ya matokea, mfano kam ulichagua btts afu timu moja ikashinda huwa inatokea, ila kweny dk za katkat ya mpira mfan dk 60-75 piah, lakn najua huwa inakuja kwa mda tu
 
Ukicash out unapewaa hela Ndogo kuliko ilee uliyotakiwa kupataa..mfano me jana nlitakiwa kushinda 10000 lakini nkaona mechi nliyobetia inaenda vibaya nikacash out nkapewa 2500... Imenisaidia maana ningesubiri mpaka mwisho mkeka ungeliwaa
Naomba nipe condition za kucash out kwa mkeka bet....1xbet cash out yao ina masharti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…