Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba nipe condition za kucash out kwa mkeka bet....1xbet cash out yao ina masharti sana
Yanii mkekabet unaingia sehemu kabisa wamekuandikia Cash out unatoa pesaa unatulia...!! Inakubalii faster tuu.. ILAA MPAKA WAANDIKE CASHOUT WENYEWE..
 
Yanii mkekabet unaingia sehemu kabisa wamekuandikia Cash out unatoa pesaa unatulia...!! Inakubalii faster tuu.. ILAA MPAKA WAANDIKE CASHOUT WENYEWE..
So ikiwepo tu unaweza cash out.....maana kwenye 1x inaweza kuwepo sell ila ukashindwa kusell ndio maana nikataka kujua kuna masharti gani
 
Nimekuelewa vzr na nimeona thank you so much Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…