Vip madrid leo anaweza fkisha corner 8Bayern inamfaa sn akiwa alianz arena
Pia hata timu km intermilan inawafaa sana
maana wao ni wazee wa kubutua sn anytime inapopatikana nafas
Ndo maana hutoa corner nyng.
Hii option inauhusiano sn na timu zinazotoa sn corner na kushoot kutokea nje ya box
maana timu nying znazotoa sn corner, huwa na kiu Kali sn ya ushindi.
Hivo hulitafta goli kwa namna yoyote ile.
Deepond naomba ushauri hii 1min events vip iko vizuri kuipiga pesa???
Na ulifanikiwa kuwithdraw hivyo hivyo bila kuitumia hyo bonus na ikakubali? Mimi kwangu iligoma inaniambia mpk nitumie hyo game bonus, ile bonus nyingine me pia nilishaitumia...Mkuu mm ile bonus ya game
Cjatumia nmejarbu kuitumia
Asubuh kwenye Yale magem yao
Ikakataa cjui not available now
Cku waelewa
Me nkaachana nayo Ila
Ile bonus ya ac nlishaitumia
Natumia App mkuuTumia app yao mkuu
Eeeh mkuu mm walikua wanakataaNa ulifanikiwa kuwithdraw hivyo hivyo bila kuitumia hyo bonus na ikakubali? Mimi kwangu iligoma inaniambia mpk nitumie hyo game bonus, ile bonus nyingine me pia nilishaitumia...
Achana na hyo ktu utamalizianaomba mnisaidie jinsi ya kucheza KENO mwenye uelewa nayo, mi nacheza lakini sishindi, nachagua namba kumi, zinatoka sita bado naambiwa sijashinda. nielekezeni mwenye kujua.
Ok, labda na mimi ndo sababuEeeh mkuu mm walikua wanakataa
ku withdraw Kwa sababu skua nmeweka
I'd number kwenye profile setting
Sasa baada kuweka nkawithdraw ikakubali
Hii option ina mana ganView attachment 699150
Deepond hii 1min events ni nzuri kuipipga pesa hasa Thrown in events!!!!
Deeppond ushauri please!?
Yaaah angalia profile yakoOk, labda na mimi ndo sababu
Mpira urushweHii option ina mana gan
Mkuu vip ulishawahi kuitumia??Mpira urushwe
Ipo mkuu jaribu kuangalia vizuri maana wana option nyingiNatumia App mkuu
IPO campun gani hiiView attachment 699150
Deepond hii 1min events ni nzuri kuipipga pesa hasa Thrown in events!!!!
Deeppond ushauri please!?
Hapana mkuu hyo cjawahMkuu vip ulishawahi kuitumia??
Je freekick 0.00 - 0.59 no hii ina mana ganIpo mkuu jaribu kuangalia vizuri maana wana option nyingi
Ni ndan ya dakk moja mpra ukianzaJe freekick 0.00 - 0.59 no hii ina mana gan
Mkuu nielekeze namna ya kuregister 1×betkaribu 1xbet