Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hyo option ya sub ni tamu sana.
Ila sio kwa kuicheza na mourinho
Huyu jamaa anaakili za kipumbavu sn
Aliwah nichania mkeka kwa sub zake za kijinga jinga
Nliicheza, 2 half akamuingiza felaini.
Hakumkawiza akamtoa tena.
HUYU JAMAA UWA ANAPANIC SN ANAPOSHIKWA KWNY MECHI
YAAN ANAHAKIKISHA SUB HOVYO HOVYO MPK SUB ZOTE ZINAISHA.
Iko vizur,Deepond naomba ushauri hii 1min events vip iko vizuri kuipiga pesa???
Peke ake au game nzima?Vip madrid leo anaweza fkisha corner 8
Peke ake au game nzima?Vip madrid leo anaweza fkisha corner 8
Peke ake au game nzima?Vip madrid leo anaweza fkisha corner 8
Timu zotePeke ake au game nzima?
Sevilla - GGWadau izi uefa leo zitatoa GG??
Nataka niweke
Sevilla GG
Shakhter GG
Afu
Apoel 3+
Kuna odds 4
Mawazo yenu tafadhali!!??
Yap, huwa nakula sana man city akicheza.View attachment 699150
Deepond hii 1min events ni nzuri kuipipga pesa hasa Thrown in events!!!!
Deeppond ushauri please!?
Scammers mnaanza kutuletea huku?Nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana wadau lakini naona tatizo wengi wetu tuna tamaa sana na odds nyingi.
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nabet kwa muda mrefu huku nikitafuta njia ya kutengeneza kipato kupitia betting, nimekuwa nikifanya utafiti wa kutafuta vyanzo mbalimbali vinavyofanya tathimini ya michezo mbalimbali ili kupata tips za mpira za uhakika lakini bado sijafanikiwa kwa 100%. Ninachoweza kushare nanyi ni link ambazo zinaonekana kuuza tips kwa options mbalimbali ambazo zinaweza kufanya ukatajirika kupitia betting.
Jaribuni nanyi kufanya tafiti juu ya hizi link labda tunaweza kupata kitu kwa pamoja ambacho kinaweza kutusaidia kwa pamoja
1. Soccer Match Fixing Tips, Fixed Soccer Match For Today - Soccermatchfixer.com
2. Soccer Combo Bets & Predictions Tips 2017 - Soccercombo.info
Jamani nawaomba tupite hapo, tuone kwa pamoja, pia tunaweza kutengeneza group whatsapp ili tutengeneze njia nzuri na kuona kama tunaweza kufanikiwa.
Ndio maana nimeleta hizo link kupata mawazo yenu.Scammers mnaanza kutuletea huku?
Wahuni tu haoScammers mnaanza kutuletea huku?
Mi nilisha pigwa pesa mwanzon sababu ya hao wajinga. Yaani humu ni zaid ya hao wanao uza.Wahuni tu hao
Wanafanya marketing kiujanja ujanja.
TIPS ZA KUTOSHA ZIKO HUMU HUMU NDANI YA UZI WETU
Ulikuwa unanunua wapi, link please.Mi nilisha pigwa pesa mwanzon sababu ya hao wajinga. Yaani humu ni zaid ya hao wanao uza.
Hata mimi nimepigika sana lakini bado nina amini wapo watu wanaotumia muda kufanya hii kazi wanaweza kupredict vizuri zaidi.Ulikuwa unanunua wapi, link please.