Wazoo zurii semaa hakunaa anaeaminika 100%Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani
Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10
Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo
Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)
Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha
ODDS
3 - Each Day
Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000
Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000
Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000
Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000
Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000
Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000
Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000
Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000
Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000
Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000
Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.
Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
WONSorry nkimaanisha ,goals 4+
Ila naitest Correct score za 3-1 (odds 4)
OngezaWadau wa corner game zifuatazo over 8.5 weka nyumba ya urithi
Real socied
Nice
Celtic
Lazio
Naomba Odds 3 za leo mkuu nianze sasa.Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani
Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10
Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo
Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)
Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha
ODDS
3 - Each Day
Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000
Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000
Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000
Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000
Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000
Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000
Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000
Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000
Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000
Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000
Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.
Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
Nafahamu na ndio maana nikasema angalau tuwe tunachambua option ambazo ni 99% kula hata kama ni odds ndogo Ila zisiwe chini ya 1.08Wazoo zurii semaa hakunaa anaeaminika 100%
Baada ya kuchukua jiko kwa msaada wa kanji...Sasa kazi ya kutunza Imeanza msaada wa odds ya 6 angalau mtoto apate kilo ya nyama na samaki!!
*****Bet wooon*****Mm nmebet under 4.5 goals.
Odd: 1.58
Maana
Naona km bentleigh wamepunguza presh ya kushambulia baada ya kupata goli LA 2.
Mkuu subiri ndio nacheki cheki tupate za kuanzia leoNaomba Odds 3 za leo mkuu nianze sasa.
Ipo vzr kaka...nimeweka option za 12 na 1xHABAR ZA MCHANA WAKUU
Zifuatazo ni timu za kuepuka kuzipa direct win au over 2.5 kwa siku ya Leo
1. Arsenal
Huyu hafai maana Tayar keshawin 3-0 away
Pia jumapili anagame ngumu na Man city
2. Ac Milan
Huyu nae keshawin 3-0 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Roma alafu akiwa ugenini
3.Real sociadad
Uyu alitoa sare ya 2-2 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Valencia
Ukzingatia Redbull Salzburg ndo timu inayoongoza kwa cleansheet hivi sasa.
Hyo game inawza kua na magoli machache sn
4. Marseille
Uyu nae first leg alishinda 3-0
Jumapili ana game ngumu sana na PSG
5. Athletico Madrid
Uyu alishashinda 4:1 away
Pia jumapili anagame ngumu akicheza away kwa sevilla.
6. Celtic
Uyu alishashinda 1:0 home
Leo yuko away na timu imara sana home ground zenit st.peters
Pia ana game ngumu akicheza away na Aberdeen (nafas ya 3)
7.Atalanta
Uyu nae anamfurulizo wa game ngumu tatu mbele yake,
Vs juve(ligi), vs juve(coppa Italia), vs sampdoria (ligi)
Nna imani atalanta lazima atapambana na asifungwe.
Na ikitokea ameshinda basi utakua ni ushindi mwembamba sn.
Ila Hyo game nnahisi inawz kua na magoli machache pia.
Maana anaangalia zaid moto ulio mbele yake ni zaid ya moto huu utakao waka kwa Leo.
Ni Hayo tu
****MAPAMBANO YANAENDELEA****
Kwanini mkuu?Duuh kubet konaa naona ni ngumu kiasi flanii aisee...
HABAR ZA MCHANA WAKUU

Daah naonaa zinabadilikaa sanaa sanaa yanii au huwa mnaangalia vigezo gani??Kwanini mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaaHahahaha ... BIG UP Chief.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa
Analipa mahar Kwa kumtumia
Kanji
Hiii mm naichukua kamaHabarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani
Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10
Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo
Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)
Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha
ODDS
3 - Each Day
Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000
Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000
Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000
Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000
Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000
Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000
Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000
Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000
Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000
Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000
Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.
Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
Wakat kanji atamuamulia[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakuwa na mpango madhubuti. Maana Kanji ni piga nikupige sn !