we jamaa ni kampuni gani hiyo mbona ina odd ndogo ivo mana nice mkekabet ana odd 1.36 kwa over 1.5Vipi hapo naweza toboa
Mkuu tusaidiane basi kutafuta izo odds 3 maana Mimi yani mda wa kutulia sikuizi nakosa kabisaHiii mm naichukua kama
Ilovo odds 3 Kwa sku znatosha kabsa
hahahaMkuu tusaidiane basi kutafuta izo odds 3 maana Mimi yani mda wa kutulia sikuizi nakosa kabisa
Hiyo kwmpuni ya 1×bet pesa unadeposite vpi wakuu,mm nimeona dollar's n.k ila Tshs. Sioni kama wanakubali,nimeshindwa kumalzia kujisajilihahaha
goal scored by kicking huko 1xbet ndio habari ya mujini. huwezi kosa odds tatu hata usipo fanya uchambuzi ni kuangalia zile timu zenye uwezo wa kutoa 2+ basi unaweka mzigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha
goal scored by kicking huko 1xbet ndio habari ya mujini. huwezi kosa odds tatu hata usipo fanya uchambuzi ni kuangalia zile timu zenye uwezo wa kutoa 2+ basi unaweka mzigo
Hii n kweli kabsa mkuuMkuu tusaidiane basi kutafuta izo odds 3 maana Mimi yani mda wa kutulia sikuizi nakosa kabisa
SinglesAsian handcap
Napoli 0
Home Win
Zenit St. Petersberg
Club Guarani vs junior
Club Guarani Win
Good luck
Bonge la idea hili safi sana odds 3 sio kitu kigumu sana hasa kwa option zilivo kibao 1xbetHabarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani
Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10
Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo
Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)
Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha
ODDS
3 - Each Day
Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000
Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000
Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000
Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000
Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000
Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000
Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000
Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000
Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000
Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000
Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.
Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
Atalanta vs dortmondHABAR ZA MCHANA WAKUU
Zifuatazo ni timu za kuepuka kuzipa direct win au over 2.5 kwa siku ya Leo
1. Arsenal
Huyu hafai maana Tayar keshawin 3-0 away
Pia jumapili anagame ngumu na Man city
2. Ac Milan
Huyu nae keshawin 3-0 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Roma alafu akiwa ugenini
3.Real sociadad
Uyu alitoa sare ya 2-2 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Valencia
Ukzingatia Redbull Salzburg ndo timu inayoongoza kwa cleansheet hivi sasa.
Hyo game inawza kua na magoli machache sn
4. Marseille
Uyu nae first leg alishinda 3-0
Jumapili ana game ngumu sana na PSG
5. Athletico Madrid
Uyu alishashinda 4:1 away
Pia jumapili anagame ngumu akicheza away kwa sevilla.
6. Celtic
Uyu alishashinda 1:0 home
Leo yuko away na timu imara sana home ground zenit st.peters
Pia ana game ngumu akicheza away na Aberdeen (nafas ya 3)
7.Atalanta
Uyu nae anamfurulizo wa game ngumu tatu mbele yake,
Vs juve(ligi), vs juve(coppa Italia), vs sampdoria (ligi)
Nna imani atalanta lazima atapambana na asifungwe.
Na ikitokea ameshinda basi utakua ni ushindi mwembamba sn.
Ila Hyo game nnahisi inawz kua na magoli machache pia.
Maana anaangalia zaid moto ulio mbele yake ni zaid ya moto huu utakao waka kwa Leo.
Ni Hayo tu
****MAPAMBANO YANAENDELEA****
binafsi hiyo ndio best option kwangu namtafuna muhindi kupitia konaDaah naonaa zinabadilikaa sanaa sanaa yanii au huwa mnaangalia vigezo gani??
Idea yako ni nzuri, ila kama unataka ufankiwe angalau kwa 70% zama INPLAY, tofauti na hapo utaishia siku ya 3Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani
Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10
Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo
Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)
Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha
ODDS
3 - Each Day
Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000
Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000
Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000
Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000
Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000
Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000
Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000
Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000
Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000
Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000
Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.
Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
Ngoja nijaribu leoIdea yako ni nzuri, ila kama unataka ufankiwe angalau kwa 70% zama INPLAY, tofauti na hapo utaishia siku ya 3
WAZULUMAJI NYIEofficial gal sport member- ask anything about galsport betting
ipo bana kwa njia ya tsh we kamilisha usajili kwa njia ya e-mail na kisha utaona sehem ya kuweka kwa m pesa eatelimane na tigopesaHiyo kwmpuni ya 1×bet pesa unadeposite vpi wakuu,mm nimeona dollar's n.k ila Tshs. Sioni kama wanakubali,nimeshindwa kumalzia kujisajili
Ila wa 1xbet ni kumpiga piga tu[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakuwa na mpango madhubuti. Maana Kanji ni piga nikupige sn !