Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

So unataka kuniambia nishukuru mungu tu!?
Hakuna uwezekano wa kuipata tena pesa yangu!?
 
Leo maisha magumu, Nice kashanichania,, na namuona mpuuzi flan akishindwa kutoa Corner 7
 
HT FC Viktoria Plzen 0 - 0 Partizan Belgrade..... DeepPond si umeona hao jamaa kama nilivyokuambia wanaweza kabisa wasipate yellow card mbili, huwezi amini mpaka HT hawajacheza foul sijui iko kipindi chapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…