Ndo maana nikiwapiga hela nzuur faster na withdraw maana Nina wasi wasi kama wanapata faidaNa Mimi sina uhakika kama wanapata faida
Mkuu hapa nimekwama?Tanzania shillings
Ha ha ha ....Ndo maana nikiwapiga hela nzuur faster na withdraw maana Nina wasi wasi kama wanapata faida
Quit ukafanye fast registrationMkuu hapa nimekwama?
Hayo mambo ya bonus ni kuachana nayo kwanza.Mkuu hapa nimekwama?
Yaani ulitoa tahadhari mapemaaaaaa asilimia kubwa hapo maneno yako yamekamilika.Wakuu,
Sjui hii tahadhali mliiona!
Vp, ulizngatia na ww mkuu?Yaani ulitoa tahadhari mapemaaaaaa asilimia kubwa hapo maneno yako yamekamilika.
Mkuu nilizingatia aiseee nikatafuta odds 4 kwa double chance direct win nikampa zamaleck na sporting mpuuzi sana huyu kanikosesha pesa aisee.Vp, ulizngatia na ww mkuu?
Pole sn mkuuMkuu nilizingatia aiseee nikatafuta odds 4 kwa double chance direct win nikampa zamaleck na sporting mpuuzi sana huyu kanikosesha pesa aisee.
Nimefanikiwa registration ila Sasa app ya ajabu kwelii itabidii nifanye mazoezHayo mambo ya bonus ni kuachana nayo kwanza.
Shughulkia LA muhimu kwanza, registration.
Ndani ya dakika 5 goal kick ipatikane 1Mkuu ulitumia option gan
Kwenye web yao chini kabisaApp yao naipata wapi?
ahahahNdo maana nikiwapiga hela nzuur faster na withdraw maana Nina wasi wasi kama wanapata faida