Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Wakuu hii mechi huwa inatoa kona nyingi sana hasa sijui kwa leo
 
Ha ha ha...
Unakaribishwa kwa moyo mmoja twende sawa.
Nimeona wenzangu huko mnapata GREEN na mimi kwa upande wa princess ni RED tu ngoja twende sambamba mkuu....

Na ningependa kupata maelezo jinsi ya ku withdraw pesa kwa 1xbet mkuu...
 
Ngoja nivute upepo nipate hata Mtaji wa Laki niweke 1Xbet kisha niwaambie madeni yangu kwenye betting watanilipa yote hata kama hawakula wao pesa zangu.
 
Lost Bet
 
Nimeona wenzangu huko mnapata GREEN na mimi kwa upande wa princess ni RED tu ngoja twende sambamba mkuu....

Na ningependa kupata maelezo jinsi ya ku withdraw pesa kwa 1xbet mkuu...
Hilo ni kweli mkuu,
HAWA jamaa greens zinatoka sana.

Maana options za kula ela ni nyingi mno uku.

Hasa hasa ukicheza bila tamaa ya odds kubwa kubwa

Kwa kukusanya kipato chako kidogo kidogo kwa kubet slot nyingi za odd ndogo ndogo za mechi 1, 2 mpk 3.

Pamoja na kubet inplay kwa kubet slot za mechi moja moja.

Check greens za jana, slot 29 hizo

Nmekula 23 , nmeliwa 6

 
daah mkuu nimebet nkiwa safarin pesa nyingi imepigwa!!ila ww una roho ngumu sana
Nishazoea,

Kupigwa kwny mkeka ni jambo LA kawaida.

Kikubwa ni kuchukulia kupigwa km jambo la kawaida tu, hii ni biashara km nyingine

Leo ni faida , kesho yaweza kua hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…