We jamaa kuanzia leo nakufuata nimeplace bet tu mara jet kapga goalnew castle jet win/ over 1.5
princessWe unatumia kampuni gan mkuu?
Tangu nmeingia 1×bet ni kipigo tuprincess
ndo mana nikasema away win or over 1.5Game tight
Jets hajashnda away ktk mechi 5 mfurulizo
Brisbane yuko mkiani anakomaa asishuke daraja.
Kuna harufu ya draw
dah me mwenyewe huko sipaelewi. halafu shida match zote za siku haziwekwi front pageTangu nmeingia 1×bet ni kipigo tu
1xbet jana nilideposit 15000 yote ikaisha kimchezo mchezo.... ikabidi ninyanyue mikono nirudi princess [emoji4] [emoji4] [emoji4]aaaah ***** nina account lkn huko nina gundu. niliweka 20000 siku tu ya kwanza ikapigwa yote chap chap
yani mkuu ilipigwa nikairudishia princess1xbet jana nilideposit 15000 yote ikaisha kimchezo mchezo.... ikabidi ninyanyue mikono nirudi princess [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Halafu jana nimerudi green zikawaka kama kawaida.... [emoji4] [emoji4] [emoji4] sasa hivi na bet kwa machale sana.... and nagusa kote kote volleyball tennis basketball na footballyani mkuu ilipigwa nikairudishia princess
away win boooom odd 3.5/ over 1.5 lostnew castle jet win/ over 1.5
ilishakubali ilikuwa inaniletea bad gatewayPrincess mbona inafunguka troublemaker
Nadhani walikuwa wana test mitambo.... Halafu kwangu inplay naona imekataa kabisa....ilishakubali ilikuwa inaniletea bad gateway
Thank youaway win boooom odd 3.5/ over 1.5 lost
Mapambano yanaendeleaaway win boooom odd 3.5/ over 1.5 lost