Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
no full timeFirst half?
Kweli kabisa mkuu, sema kwenye odds apo huwa ni kama bahati tu, unaweza kuta 2 odd ikakubali af 1.2 ikakuchania mkeka.mfano Ried vs Viena Austria alkuwa na 1.2 lakn kachana tu mikeka nikiwemo mm pia,Wakuu,
Polen sana mloanza na Bahat mbaya 1xbet
NINGEOMBA WOTE TUKUMBUSHANE MISINGI MKUU WA BETTING
"Epuka Tamaa"
Ila nadhan bado kuna tatzo kdg kwny style za betting
Ni muhimu sn kuishinda Tamaa ktk biashara yoyote
Tamaa ya kutaman kuitunisha account immediately on spot bado ni changmoto
Wengi wetu mnashindwa kuzithamin odd ngogo ndogo km 1.2 mpk 1.4 ktk in play
Ni changamoto kubwa sn kutaman pesa nyingi kwa haraka kupiyia inplay
Mfano: mtu kuplace bet ya kokoro LA mechi 5 kwny in play afu still unategemea upate green 75% ya bets ulizoweka.
Kingine ni watu kucheza option wasizokua na uelewa Nazo, hapa ni vema ukauliza km huna uhakika.
Kingine, ni watu kubet kwa mtindo wa"Kujilipua , liwalo na liwe"
Hii MTU anacheza option ngumu mno kutoka, pia unawz kuta ameweka zaidi ya 30% ya pesa I'll kwny account.
Honestly, hii sio Tabia nzuri.
Bet kustaarabu kwny option simple kutick na kwa stake ya kawaida.
***Nakaribisha maoni,ushauri hata povu ukiona inafaa****
Nawasilisha wakuu
East Bengal 3 - 0 Chennai CityFirst half?
Dah mkuu kwel nmefanya kosa odd tamu kweli ila leo tunaenda sambambaumefanya kosa kubwa sana mkuu. yani hii niliamin 99%
Mkuu uko right kabisaWakuu,
Polen sana mloanza na Bahat mbaya 1xbet
NINGEOMBA WOTE TUKUMBUSHANE MISINGI MKUU WA BETTING
"Epuka Tamaa"
Ila nadhan bado kuna tatzo kdg kwny style za betting
Ni muhimu sn kuishinda Tamaa ktk biashara yoyote
Tamaa ya kutaman kuitunisha account immediately on spot bado ni changmoto
Wengi wetu mnashindwa kuzithamin odd ngogo ndogo km 1.2 mpk 1.4 ktk in play
Ni changamoto kubwa sn kutaman pesa nyingi kwa haraka kupiyia inplay
Mfano: mtu kuplace bet ya kokoro LA mechi 5 kwny in play afu still unategemea upate green 75% ya bets ulizoweka.
Kingine ni watu kucheza option wasizokua na uelewa Nazo, hapa ni vema ukauliza km huna uhakika.
Kingine, ni watu kubet kwa mtindo wa"Kujilipua , liwalo na liwe"
Hii MTU anacheza option ngumu mno kutoka, pia unawz kuta ameweka zaidi ya 30% ya pesa I'll kwny account.
Honestly, hii sio Tabia nzuri.
Bet kustaarabu kwny option simple kutick na kwa stake ya kawaida.
***Nakaribisha maoni,ushauri hata povu ukiona inafaa****
Nawasilisha wakuu
Mkuu trouble,yani mkuu ilipigwa nikairudishia princess
Pole sana mkuu, that day wakati nasema imekaa poa nilishadeposit 5k ikaingia nkabet in play ikapotea, baadae nadeposit tena ikakataa nikawasilana nao wakaniambia Bado haijawa Official mpaka Mwezi ujaoDah mkuu hyo GSB juzi ulivopost kuwa system yao ya deposit imeshakaa poa si nikajitosa fast nkadeposit 10k kilichonikuta mpk leo nasumbuana nao siku ya 4 hawajanirudishia wananiambia tu kuwa system yao haikuwa imetengemaa bado wako kwenye maboresho lakini kunirudishia mpunga wangu wanapiga danadana tu
Mi wamenila au nilichanganya?Hapana mkuu,
Hujaangalia vizur
Hiyo ni bet woon
Check vizur
Sorry, mm ndo nlichanganya mechiMi wamenila au nilichanganya?
Yeah man, mimi ni fan wa gsb sana so niliposikia tu kuwa mambo yako fresh ata sikuwaza nikatimba mazima but hata hvyo nitakomaa nao watanirudishia tu. Kifupi ni kwamba sasahivi ukitaka kufanya deposit labda uende shop hal kadhalika withdrawal pia ni through shopping tu mpaka watapokaa sawaPole sana mkuu, that day wakati nasema imekaa poa nilishadeposit 5k ikaingia nkabet in play ikapotea, baadae nadeposit tena ikakataa nikawasilana nao wakaniambia Bado haijawa Official mpaka Mwezi ujao
kama nilivosema shida inakuja hata odd ndogo bado ni risk.Mkuu trouble,
Naomba niseme haya
Trouble aisee, betting style yako kias ina ukakasi.
Kwny inplay zako nmeona umekua unatia option risky sana na zenye odds kubwa mno "unajilipua"
Kias kwamba ac inajaa pesa kwa fasta.
Ila ikigoma ndo hivo, kufilisika kunakua kunanyemelea.
Kuna msemo wako unaupenda sana
"Woga wako, umaskini wako"
Uliusema na Jana pia baada ya zile odd mlima zilipotick kwny inplay.
Mm nadhan kidg, ungepunguza rate ya kujilipua.
Au km haliwzkani, basi uwe unatoa kidg tahadhar hasa.
kwa juniours wanaofata, mikeka yako ya inplay km ilivyo.
Hii nadhan itaboresha vema kabisa ustawi wa hii biashara yetu na
Kwa maslahi mapana yetu sote wapambanaji
Ni hayo tu
Nb: samahan km ntakua nmekukwaza mkuu trouble na wengineo
Kila odds INA risk ktk betting yoyotekama nilivosema shida inakuja hata odd ndogo bado ni risk.
me nadhani shida si ukubwa wa odds bali ni balance ya inayotiki na kuchanika. je jioni hesabu imekubali au imebuma. na kama ujuavyo ktk kila biashara kuna siku za kucheka na kununaMkuu trouble,