Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hamna group la teregram wakuu
 
Nimeamin beting hainaga kudesa/kuigilizia..follow ua analysis n views asee..jana niliingia chaka kinoma,ila kama kawaida mi nachezea ngama,..yaan nmeliwa buk3 tu,hahahahah,...hapa ni ngama kwenda mbele,jana ilikua siku mbaya sana,
 
Haa haaa nlikutaarifu mapema
 
Wakuu mpo?

Dah, Siku ya Jana ilkua ni balaa tupu

Mikeka imepasuka,imefuka na kutatuka vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…