Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

875 Odds
 

Attachments

  • IMG_20180303_132142_395.jpg
    81.3 KB · Views: 60
Chambua kimtindo, tia zigo
 

Attachments

  • IMG_20180303_132239_458.jpg
    89.9 KB · Views: 57
Mkuu achana nao hao wengine wageni tu humu na mawakala wa kanji wanatamani kurudisha nyuma mapambano,,,wapotezee
Ni ajabu sn MTU mzima niwe napoteza muda wangu hapa siku nzima kushare tips ambazo mm eti mm mwnyw siweki stake.

Ni mawazo ya ajabu sn kwa MTU mzima kua na perception ya kipuuzi namna hii.
 
Haa haa chaa ajabu Sasa
Huyu anaombA under
Huyu anaombA over[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imagine
Ahaaaa na wote anawasikiliza na kujibu maombi yao, kweli nimeamini Mungu ni waajabu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…