Wanatumwa hawaNi ajabu sn MTU mzima niwe napoteza muda wangu hapa siku nzima kushare tips ambazo mm eti mm mwnyw siweki stake.
Ni mawazo ya ajabu sn kwa MTU mzima kua na perception ya kipuuzi namna hii.
****BET WOOON***Inplay
Brisbane vs Adelaide
Yellow card- Brisbane over 1.5
Odds: 1.58
Hii ligi ya huko inafaa KwaYaani wanazitandika kama hawana akili nzuri......
Halafu nimegundua hii ligi ina magoli mengi sana....
Zinatoka, nmetoka kuwithdraw ela ya supu mda si mrefu (past 1hr)Wazee, leo hela zinatoka 1XBET?
Nauliza nataka nikaWithdraw
Hasahasa ligi ya madogo na wanawake ni kufuru... unaweka over 4.5 unaendelea kupiga balimi taratibu kabisaHii ligi ya huko inafaa Kwa
Kona na magol
Naunga mkono hoja 100%Hasahasa ligi ya madogo na wanawake ni kufuru... unaweka over 4.5 unaendelea kupiga balimi taratibu kabisa
Kam leo nimejaribu kuchungulia kwenye ligi ya madogo mtu anapigwa goli 10 kiutani utani kabisa.....Naunga mkono hoja 100%
Sawa mkuu, hapa naWithdraw kwa Tigo...Zinatoka, nmetoka kuwithdraw ela ya supu mda si mrefu (past 1hr)
Rudia TENA,binafs natumia airtelSawa mkuu, hapa naWithdraw kwa Tigo...
Ila bado haijaleta ile """SMS CODE"""
[emoji134] ...Nimeishia njiani, sijui kuna shida!
Also nimetumia WEB kama ulivyoelekeza.
usimaindi mkuu hilo lilikua swali haina haja ya kujibu kwa hasira
Kama mhudhuriaji wa hili jukwaa huwez kuuliza swali kama hilo unakuwa kama unamkejeli,,,daily jamaa anaweka mikeka yake na tathmini humuusimaindi mkuu hilo lilikua swali haina haja ya kujibu kwa hasira
Siwez kua na hasira mkuuusimaindi mkuu hilo lilikua swali haina haja ya kujibu kwa hasira
humu nipo sana, hilo sio swali la kejeli mara kibao naweka possible halafu mimi sibeti na wala sio jamba la ajabu unless otherwise ume li interpret unavyojua weweKama mhudhuriaji wa hili jukwaa huwez kuuliza swali kama hilo unakuwa kama unamkejeli,,,daily jamaa anaweka mikeka yake na tathmini humu
wewe ndio umejibu kipuuzi hilo ni swali kama maswali mengine, hasira zako za mkeka kuchanika ziminye maana mikeka hata mi nachaniwa sana tu, ulipaswa ujibu swali sio kuni attack huo ni utoto.Siwez kua na hasira mkuu
Maana ww sio MTU wa kwanza humu kuja na hoja ya kipuuzi km hiyo
DAAAAAHwale wa kampuni ya 1xbet....download hy tiket
1xbet code... YMGSF
11 matches 3.25 odd