Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wewe ndio umejibu kipuuzi hilo ni swali kama maswali mengine, hasira zako za mkeka kuchanika ziminye maana mikeka hata mi nachaniwa sana tu, ulipaswa ujibu swali sio kuni attack huo ni utoto.
Nasema Hoja ni ya kipuuz maana mpk sahv hujajibu ni kwann uliuliza swali LA namna ile tena.

Nikitafakari lengo lake hasa, nagundua ni Uchochezi tu.

Ungekua na busara hilo swali LAKO ungeuliza pm

Kwa kifupi,
Najua kuna hoja flani iliyokaa negative na pia kiuchochezi ulitaka kuwajengea wana jukwaa,

Endapo Nisingeli jibu hilo swali LAKO.
 
Burnley - Everton (Corners)
Total: 12.5 Under
1.3
Leganes - Malaga (Corners)
Total: 12.5 Under
1.195
Augsburg - TSG 1899 Hoffenheim (Corners)
Total: 12.5 Under
1.296


Odd 2+
 
wewe ndio umejibu kipuuzi hilo ni swali kama maswali mengine, hasira zako za mkeka kuchanika ziminye maana mikeka hata mi nachaniwa sana tu, ulipaswa ujibu swali sio kuni attack huo ni utoto.
ww muuliza swali ni mbwiga !inaonekana una roho ya.korosho na husuda zimekujaa kwani hata kama hawezi bet ww zinakuhusu nn?ww ndio wale dizain wanatuma mikeka afu wanaficha stake walizoweka
 
hiyo ni perception yako kwa watu lakini mantiki ya hilo swali sio kujua kama wewe ni agent wa mhindi kama unavofikiria, nimeuliza hilo swali nijue kama hizi loss zinakuhusu pia maana kama tuko wote katika hili tukipoteza tunasema ni ajali we dont give up and the battle continues, sio ishu ya kumind wala kuja juu na kuhisi nachochea watu, by the way pia hauko sure kama unachoandika hapa watu wote wanakifuata
 
ww muuliza swali ni mbwiga !inaonekana una roho ya.korosho na husuda zimekujaa kwani hata kama hawezi bet ww zinakuhusu nn?ww ndio wale dizain wanatuma mikeka afu wanaficha stake walizoweka
huwezi kuelewa sababu hauna akili
 
Deep achana nae boya huyo hakawii kukuambia tuone kama umekula au acc yako ina sh. ngapi
 
Mkuu tatzo kwenye hii biashara yetu watu wanataka kula tu ila hawafikirii kama mikeka inaenda kombo pia mbona ile mikeka iliyokuwa ina win walikua hawaulizi maswali ya ajabu?
 
ungekua na akili usingeuliza swali la kipuuzi kama hilo unless umetumwa
hakuna aliyetumwa, wewe ndo wale moja ya watu wanafuata mkumbo na hisia katika maongezi na maamuzi. Ongeza kidogo kipimo cha kufikiria utajua nimeuliza swali la kawaida sana ila sababu kichwa chako kimejaa electron huwezi kuelewa.
 
hakuna aliyetumwa, wewe ndo wale moja ya watu wanafuata mkubo na hisia katika matamshi namaamuzi. Ongeza kidogo kipimo cha kufikiria utajua nimeuliza swali la kawaida sana ila sababu kichwa chako kimejaa electron huwezi kuelewa.
Deep huwa analeta mikeka inayowin anasema inayolose anasema sasa ww awe anaweka hela au haweki inakuhusu nn?umelazimishwa ufuate mikeka yake?
 
Deep huwa analeta mikeka inayowin anasema inayolose anasema sasa ww awe anaweka hela au haweki inakuhusu nn?umelazimishwa ufuate mikeka yake?
kujua kwangu kama anaweka au haweki kuna affect vipi matokeo??
 
why ulitaka kujua sasa?kama hakuna affect yoyote kwako???unapenda kuchungulia maisha ya mtu yatakusaidia nn
kama hauoni umuhimu wa hilo swali basi jiaminishe kabisa kwamba hauna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…