Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

serve error inadawa kweli hii kitu wazee maana tangu asubuhi naambiwa hivyo tu hapa
 
Poleni sana wakuu... nilishaachana na soka mimi, kama kawaida saa 4 tutakutana hapa
soka pasua kichwa sana labda uamue kucheza na magoli tu as in 0-1 first half or 0-3 FT,2+ etc yaan namna hiyo lakini kutabiri ushindi imeshakuwa ishu.wacheza kamari wamekuwa wengi mpaka wachezaji wenyewe.kikapu naona kina uelekeo mzuri nashukuru juzi sikukesha bure.leo nipo tena.
 
serve error inadawa kweli hii kitu wazee maana tangu asubuhi naambiwa hivyo tu hapa
naona server inaelemewa,ila kwa usiku inatulia hata games ambazo ziko live ni rahisi kudandia tofauti na mchana.kama unacheza na mpira jitayarishe utandaze mkekaa usiku huu lasivyo kesho utaishia kulalamika kupitwa na hela.hahahaa
 
Haya waliotembelea mkeka niliopost earlier mpaka now matokeo yako hivi.
 

Attachments

  • 1428089593753.jpg
    1428089593753.jpg
    43.2 KB · Views: 176
soka pasua kichwa sana labda uamue kucheza na magoli tu as in 0-1 first half or 0-3 FT,2+ etc yaan namna hiyo lakini kutabiri ushindi imeshakuwa ishu.wacheza kamari wamekuwa wengi mpaka wachezaji wenyewe.kikapu naona kina uelekeo mzuri nashukuru juzi sikukesha bure.leo nipo tena.

Nikichezaga nacheza Goal in both halves au GG pekee... na huwa nabahatisha nakula. sehemu pekee ninayoweka pesa kwa moyo mweupe na dau refu ni NBA
 
Nikichezaga nacheza Goal in both halves au GG pekee... na huwa nabahatisha nakula. sehemu pekee ninayoweka pesa kwa moyo mweupe na dau refu ni NBA

Nishapata mtaji nlienda kukopa, leo sinywi kahawa yaan napiga sumu kabisa ili nijilipue vizuri, mzungu kaniudhi sana leo, ngoja nipige hii konyagi akili ikae vizuri.
 
Nikichezaga nacheza Goal in both halves au GG pekee... na huwa nabahatisha nakula. sehemu pekee ninayoweka pesa kwa moyo mweupe na dau refu ni NBA

ndio nakusubiri hapo kaka leo walichoandika wachambuzi hakijapanda kabisa hebu nipe pakuamkia kesho
 
Mh leo cijabeti kabisa mambo ya net. Wadau wa NBA, nasubiria mkeka huo, coz huko me sina uzoefu... Msaada nikuze mtaji wa kesho.
 
Haya naendeleza consistency winning tembeleeni na huu wa nba unafata
 

Attachments

  • 1428092539209.jpg
    1428092539209.jpg
    42.4 KB · Views: 167
duh sasa nyie mnabetia mechi nying sana asee....5 tu zinatosha zingine zinaongeza presha.
 
Ukagueni na huu wa nba ODDS 10.86
Nets win
Indiana win qrt1
Washington +48 qrt 1
San Antonio +52 qrt 1
 

Attachments

  • 1428094298201.jpg
    1428094298201.jpg
    36.7 KB · Views: 125
sacramento vs belgrano

draw/draw...odds 5+

muda 0110 usiku

80% uhakika
 
Mkeka mzuri, nets ondoa ili kupunguza presha! Memphis na OKC under 206!

Hiyo game ya OKC nimeiogopa yule mtoto wa kimakonde anapenda sifa sana. Inaweza ikawa open game wakapigana point za kutosha ukizingatia juzi wametoka kuu 135
 
jamani stephan ulikua unamaanisha kitu kama nikiyoweka hapo?
 

Attachments

  • 1428094946230.jpg
    1428094946230.jpg
    46.3 KB · Views: 167
Back
Top Bottom