Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka yenu itimie mkuu.... Badae naingojea nione kama pasaka itakua njema kwangu.

Tuombe Mungu ndugu hapa najigeuzageuza tu kitandani hata usingizi hauji maana nimeweka dau kubwa aisee.
 
Boston anatuua hapa... Yani hii game sikuiangalia vizuri nilifikiri Boston anapita na Minnesota kumbe ni Bucks. Ngoja nilale tu

Mamaaaaaaaa....nani aliyetuloga aisee? nlijua 1st Q ndo maana nikasherehekea...hahaha sina hamu.
 
Nikichezaga nacheza Goal in both halves au GG pekee... na huwa nabahatisha nakula. sehemu pekee ninayoweka pesa kwa moyo mweupe na dau refu ni NBA

Mpwa jana mimecheza kwa muhindi hafl time and full time, nakawapa watashida kipindi cha pili wale waliowekewa (+) kwa bahati baya wakatoka sare kipindi cha kwanza na cha pili. mpwa nitakuwa nimempinga au nimepigwa.
SUMVE nisaidie hapo.
cc. Sumve 2015
CC true rasta naomba uelewa wako kuhusu hili.
 
Last edited by a moderator:
Boston anatuua hapa... Yani hii game sikuiangalia vizuri nilifikiri Boston anapita na Minnesota kumbe ni Bucks. Ngoja nilale tu
boston kaunguza pilau la pasaka nilimuweka kwenye mikeka yangu yote kwa win.ila leo pia ni siku.Aluta Continua
 
Mpwa jana mimecheza kwa muhindi hafl time and full time, nakawapa watashida kipindi cha pili wale waliowekewa (+) kwa bahati baya wakatoka sare kipindi cha kwanza na cha pili. mpwa nitakuwa nimempinga au nimepigwa.
SUMVE nisaidie hapo.
cc. Sumve 2015
CC true rasta naomba uelewa wako kuhusu hili.

Unamaanisha handicap kipindi cha pili? kama ni hivyo na wakatoka draw bas umempiga maana yule aliyekuwa kwenye nafasi ya kupoteza kakaza na hivyo anaongezewa goli moja anakuwa mshindi.
 
Last edited by a moderator:
2+ au Over1.5 goals
 
Attachments

  • 1428125685086.jpg
    1428125685086.jpg
    85.8 KB · Views: 283
Unamaanisha handicap kipindi cha pili? kama ni hivyo na wakatoka draw bas umempiga maana yule aliyekuwa kwenye nafasi ya kupoteza kakaza na hivyo anaongezewa goli moja anakuwa mshindi.

Subiri nifate mzingo wangu nitaleta feedback.
 
habarini wazee wenzangu wale wa fut ball naomb mkeka wale wa nba tukutane jioni tena
 
Bolton vs blackpool 1 win
man u win
Salzburg win
arsenal gg

Vipi hapa wachambuzi

Hiyo game ya Arsenal sjuwi kwa nini siiaminiamini!
Jana nilikuwa kizembekizembe nashangaa leo bado nimelala meseji imeingia kucheki kilo imeingia, nataka niiuze yote hivi:

Man U-WIN
B/Leverkusen-WIN
Wolfsburg-WIN
Salzburg-WIN

Sijuwi wakuu wa kaya mnasemaje!
 
Mamaaaaaaaa....nani aliyetuloga aisee? nlijua 1st Q ndo maana nikasherehekea...hahaha sina hamu.

boston kaunguza pilau la pasaka nilimuweka kwenye mikeka yangu yote kwa win.ila leo pia ni siku.Aluta Continua

Aisee hii game imeniuma sana, nina hakika muhindi kanifanyia uchawi hapa baada ya kuona wiki mbili hizi namuua kula siku. Haya majina Milwaukee na Minnesota niliyachanganya baada ya kujua anacheza na Milwaukee ambaye yuko juu yake kwenye league nikajua anakipiga na Minnesota ambaye ni wa mwisho kwenye ligi. Ndio maana nilikuwa na kiburi cha kuweka Full Time atashinda. Poleni sana kwa hili, yaani nilimwacha Orlando Magic mwenye point mbele nikawapa hao mazuzu
 
Usjali kabisa kaka Steph Curry, kila siku huwa nawaambia hapa huwezi fanikiwa bila kutake risk ktk jambo lolote lile, ni ajali kazini, nishapata tena kama 200K, tufanyeni kweli leo alfajiri, mie football naziogopa aisee.
 
Last edited by a moderator:
Aisee hii game imeniuma sana, nina hakika muhindi kanifanyia uchawi hapa baada ya kuona wiki mbili hizi namuua kula siku. Haya majina Milwaukee na Minnesota niliyachanganya baada ya kujua anacheza na Milwaukee ambaye yuko juu yake kwenye league nikajua anakipiga na Minnesota ambaye ni wa mwisho kwenye ligi. Ndio maana nilikuwa na kiburi cha kuweka Full Time atashinda. Poleni sana kwa hili, yaani nilimwacha Orlando Magic mwenye point mbele nikawapa hao mazuzu

Mkuu usijilaumu sana bwana hayo mambo yanatokea ndio maana inaitwa betting mimi nakoseaga unatoa mkeka nakosea ndio mambo kama hayo haina shida tujipange upya loooh......!huyo ndio muhindi alinipiga juzi mpaka nikakopa so hiyo ndio kazi inafaida na hasara man
 
Back
Top Bottom