Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtandao unanisumbua sana leo nimeshindwa hata kujilipua mchana na nashindwa hata kufanya analysis jamani sikukuu inakuwa mbaya sana kwangu hii, Steph Curry na Raimundo leo nataka nikifa nife hasa.
 
Last edited by a moderator:
Wofsburg kanichawia
 

Attachments

  • 1428177946387.jpg
    1428177946387.jpg
    35.8 KB · Views: 173
Wadau wa basket naona kuna game kibao leo Kama
Clippers V Nuggets
Magic V Bucks
Jazz V Suns
Wizards V Grizzlies
na zingine kibao sasa hata sijui nianzie wapi Basket mtupu jamani njooni
 
naona hawa Bolton Celtics game za nyuma wameshinda zoteee, pia hawa Toronto Raptors nao hivohivo hapa pagumu
 
Siku nzima mie leo imenigomea niko nahangaika nayo mpaka kieleweke.

pole sana kaka mimi naambiwa serner nurr

Nilikuwa nataka nife hivi..

GSW WIN
Toronto WIN
Charlotte WIN
Clippers WIN First Quarter
Atlanta 50+ First Quarter

CC: Giza ila hapo kwa Atlanta hao jamaa wanaweza wakaidharau hii game, lakini ipo 50/50 cuz Nets wao watakaza ili wabaki kwenye Play offs
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nataka nife hivi..

GSW WIN
Toronto WIN
Charlotte WIN
Clippers WIN First Quarter
Atlanta 50+ First Quarter

CC: Giza ila hapo kwa Atlanta hao jamaa wanaweza wakaidharau hii game, lakini ipo 50/50 cuz Nets wao watakaza ili wabaki kwenye Play offs

Nishalipuka kama ulivyo akili imechoka na net inasumbua sina ujanja leo.
 

Attachments

  • 1428180225807.jpg
    1428180225807.jpg
    56.7 KB · Views: 145
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom