Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thanks muhindi kapika ya pasaka sasa nimebet kwa m bet je watanitumia moja kwa moja au wataweka kwenye profile then n niitoe?sikumeka hela kwa profile nililipa direct toka mpesa

tulia, kesho utaona sms ya m-pesa, huyo huwa halali na chamtu anaogopa kukila....teh!
 
Wekeza hapa leo.
REAL MADRID (WIN)
BARCELONA (WIN)
VALENCIA (WIN)
ZENIT (WIN)
AJAX (WIN)
Wekeza hata laki moja!!! lazima ujichotee mpunga wa maana.
 
GSW pia hatashinda hii game!

Mi zangu ni 2 tu,

1. Dallas vs GSW: Dallas win
2. Atlanta vs Nets: Under 207

Atlanta kachana mkeka aisee...washenzi wamepigana vikapu 230.

Mkeka wa kwanza umechanwa na Toronto, wameenda overtime, ipo siku mzungu atajuta kutufahamu hatukati tamaa aisee.
 
Wekeza hapa leo.
REAL MADRID (WIN)
BARCELONA (WIN)
VALENCIA (WIN)
ZENIT (WIN)
AJAX (WIN)
Wekeza hata laki moja!!! lazima ujichotee mpunga wa maana.

Mkuu shy subiri kwanza maumivu yapoe maanaa duh!
kati ya zenith na ajax hawatachana huo mkeka kweli?
 
Atlanta kachana mkeka aisee...washenzi wamepigana vikapu 230.

Mkeka wa kwanza umechanwa na Toronto, wameenda overtime, ipo siku mzungu atajuta kutufahamu hatukati tamaa aisee.

hahahahahaha.......!muindi kanunua mechi nini hahahahahaha atalia machozi ya damu one day
 
hahahahahaha.......!muindi kanunua mechi nini hahahahahaha atalia machozi ya damu one day

Hahahahhahaha kuanzia jana mechi zimekua ngumu kweli kutabirika. Ila hakuna tabu ane day yes. Tukaze viatu tusonge mbele wazee
 
Baada ya jana kujipumzisha leo narudi kwa staili hii
 

Attachments

  • 1428221434527.jpg
    1428221434527.jpg
    36.7 KB · Views: 202
mkuu qarabag nimemcheki qarabag nimeona anacheza kesho, au siyo qarabag huyu wa Arzebeijan.?

Qarabag is playing today and not tomorrow
We're quite sure with our tips especially on tickets
27 days of 30 days we win see how impressive we're
 
Back
Top Bottom