Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Marseille 2.20 lose
celta vigo 1.36 lose
cambuur 1.62 win
valencia 1.94 win
esbjerg 2.07 lose
gaz metan medias 1.51 lose
hertha berlin 1.84 win
paok 1.56 win
pas giannina 1.46 lo
 
Ticket C (i) is already posted just follow us..

Hao Qarabag wamenichania mikeka yangu yote aisee, najuta sana maana nlitumia mtaji wangu wote wa kwenye kikapu...it's okay anyways kaka ni ajali kazini, wiki hii imekuwa mbaya sana kwangu.
 
pole mkuu nashukuru mingu mie jamaa kakataa kunipa net so nalia tu hapa
 
Hawa valencia siwaelewi bora wengine hawa kuna nuru mola saidia apate hata moja
 

Attachments

  • 1428250623597.jpg
    1428250623597.jpg
    27.3 KB · Views: 186
tim moja tu dah. ...
 

Attachments

  • 1428252557404.jpg
    1428252557404.jpg
    133.3 KB · Views: 188
tim moja tu dah. ...

Naona mikeka ikikubali au ikimiss kidogo ndiyo mnaitupia!! Humu watu tunashare wadau wanachambuachambua penye kubadili panashauriwa mwenye zake anaongeza na zake, asiyekuwa na wazo la siku anapata idea ya kuanzia!
 
Valencia wameniua ila sasa nakuja hivi tena.
PSG
BARCA (CAP)
RIVERPLATE
Hizo tu basi nione tena.
 
wakuu mi naifanyia research Japan league 2 toka imeanza ntakuja tarehe 10 na mikeka ya tar 11
jiandaeni na ushindi
 
Meridian kwangu majanga tupu, error kibao nashindwa kabsa kufanya kazi!
Soka Muhindi kaniowa bila huruma, nilitaka nipozee kikapu:

Indiana-Miami >191
SAntonio-GState <211
Sacramento-Utah >190
Lakers-Clippers >208

Wakali wa kikapu mkiingia humu naombeni msaada wenu leo nimechakazwa vibaya!
 
naona game ya SAS vs GSW, GSW kapewa point za kutosha, hii imekaaje.? Curry na thompson hawapo nini.?

CC: wadau wa kikapu. Sumve, raimundo, pekesi, steph curry & Co
 
Back
Top Bottom