Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KAKA KWA RUHUSA YAKO naomb niuchukue kama ulivyo na naweka elf 30000 naona huu unabaraka zote za pasaka aisee

Hapana usiweke dau kubwa hivyo it's too risky, washenzi huwa wanaharibu hao pasina kutarajia, juzi wameweka hapa afu goli likafungwa dak ya 3 tu.
 
Always i believe on home grounds. ODDS 22.62
 

Attachments

  • 1428227012147.jpg
    1428227012147.jpg
    39.3 KB · Views: 183
Habar zenu wakuu. App ya merdian bet ntaipata kwenye source ipi? Maana kila ninayoipata inazengua kuinitialize.
 
Real madrid WIN (cap)
feyernood WIN
Ajax WIN
Zenit WIN
Bordeux WIN
Galatasaray WIN
Valencia WIN
 
wekeza hapa leo.
Real madrid (win)
barcelona (win)
valencia (win)
zenit (win)
ajax (win)
wekeza hata laki moja!!! Lazima ujichotee mpunga wa maana.

leo naua mhuhidi madridi na ajax ishatiki tiyari.
 
Mbet sahizi wana multiple betting.
Unaweza changanya half time normal na cap.

Wajion
Barca cap odd 2.08
Paok normal odd 1.56
Galatasary odd 1.36
 
Aisee hii game imeniuma sana, nina hakika muhindi kanifanyia uchawi hapa baada ya kuona wiki mbili hizi namuua kula siku. Haya majina Milwaukee na Minnesota niliyachanganya baada ya kujua anacheza na Milwaukee ambaye yuko juu yake kwenye league nikajua anakipiga na Minnesota ambaye ni wa mwisho kwenye ligi. Ndio maana nilikuwa na kiburi cha kuweka Full Time atashinda. Poleni sana kwa hili, yaani nilimwacha Orlando Magic mwenye point mbele nikawapa hao mazuzu
no harm done mpwa,u did your best and mistakes are acceptable.tuendelee na kazi
 
Ajax timu ya ajabu kabisa.Anyway mwingine ni huu nimeweka tena.
galatasaray
barca
nantes
psg
valencia
riverplate
 
Back
Top Bottom