Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikuwa nataka nife hivi..

GSW WIN
Toronto WIN
Charlotte WIN
Clippers WIN First Quarter
Atlanta 50+ First Quarter

CC: Giza ila hapo kwa Atlanta hao jamaa wanaweza wakaidharau hii game, lakini ipo 50/50 cuz Nets wao watakaza ili wabaki kwenye Play offs

nimeuona kaka hapa nasubiri watoto walale tupate net sasa ila atlanta first quater atafika leo?ngoja na tuone
 
Last edited by a moderator:
Sumve 2015 nisaidie hapa kuweka hizi options za ku win first quarter na 50+ first quarter
 
Last edited by a moderator:
Sumve 2015 nisaidie hapa kuweka hizi options za ku win first quarter na 50+ first quarter

Kila siku kitu hikihiki jamani mtaelewa lini? Bonyeza mechi husika ikifunguka utaona machaguo mengi....angalia upande wa mwisho huku ukishuka chini utaona 50.5 basi katika mstali huohuo bonyeza over.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1428182267469.jpg
    1428182267469.jpg
    44 KB · Views: 125
  • 1428182306632.jpg
    1428182306632.jpg
    49 KB · Views: 117
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye screen shot ya kwanza, Points 1Qtr unabonyeza kitufe chenye alama > ndo inamaanisha over.

Na hiyo screen shot ya pili, Result 1 Qrt ndo inamaanisha nani atashinda 1st Q so unabonyeza unayempa ushindi hapo kwenye majina.
 
Kila siku kitu hikihiki jamani mtaelewa lini? Bonyeza mechi husika ikifunguka utaona machaguo mengi....angalia upande wa mwisho huku ukishuka chini utaona 50.5 basi katika mstali huohuo bonyeza over.
Nashukuru mkuu basket ndio naanza leo, AAksate sana.
 
GSW pia hatashinda hii game!

Mi zangu ni 2 tu,

1. Dallas vs GSW: Dallas win
2. Atlanta vs Nets: Under 207

Hahahaa...nishautupia na huo ili kujihami incase ule ukichanika huu urejeshe mtaji.

Nilikuwa sijakuona nikajua huenda umepatwa na tatizo kaka.
 
GSW ameshinda game nyingi mfululizo, Dallas ndo mwenye uhitaji wa ushindi zaidi na yuko nyumbani!

Hii game nimewapa GSW kwa reason moja tu.. Juzi Curry alisema Winning is their first priority haijalishi wameshapita au lah.. reason nyingine ile game ya Nets juzi walikaza mpaka second 4 za mwisho utafikiri walikuwa wanagombania kuingia play offs. Kwa hizo reason mbili naamini hii game hawataidharau na wala hawataangalia Dallas wanaihitaji kwa kiasi gani. Bado niko na GSW kushinda hii game na ikitokea amepoteza basi sio kwakuwa aliidharau
 
Okay, nimeona mpaka sasa wako 3-0 season hii vs Dallas, mimi nawapa Dallas kwa sababu wanauhitaji ushindi zaidi, wako nyumbani!
 
hii mechi ya dallas ni ngumu sana hata wachambuzi nao wanamawazo tofauti tofauti ila wacha iwe hivyo hivyo
 
Thanks muhindi kapika ya pasaka sasa nimebet kwa m bet je watanitumia moja kwa moja au wataweka kwenye profile then n niitoe?sikumeka hela kwa profile nililipa direct toka mpesa
 
Thanks muhindi kapika ya pasaka sasa nimebet kwa m bet je watanitumia moja kwa moja au wataweka kwenye profile then n niitoe?sikumeka hela kwa profile nililipa direct toka mpesa

Watakutumia moja kwa moja hao hawanaga mambo mengi.
 
Back
Top Bottom