Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa leo ushindi lazima
1.Porto
2.Rosenborg
3.Norwich
4.Chesterfield
5.Bournemouth
6.Fleetwood town
7.Eindhoven
8.Tromso
9.Bayern Munich 11
10.Bury
11.Wolfburg 11
12.Viborg
13.Hertha Berlin 11
14.Orenburg
15.Cerro porteno
16.Wolves
17.Jonkopings
18.Espanyol
Weka wote hao wanashinda ukipuuza shauri yako. Kesho mtanikumbuka.

Kwa dizaini hii ndugu yangu utakuwa unamwaga pesa bure na kulia gundu tu, kama unafanya betting kujifurahisha ni sawa, lakini kama unataka kubet kwa faida unatakiwa ukokotoe vizuri. Probability ya kupatia matokeo ya timu kumi na nane kwa mpigo ni moja kwa milioni 18, siyo kwamba haiwezekani, nasema tu kwamba ni ngumu. Kama unataka betting ikupe faida na siyo hasara basi unatakiwa ujifunze strategies za profitable betting.
 
Wadau embu nisaidieni, hiii zero bet, iko vp hiii. Mwenye kuijua vizuri tafadhali

Cha kwanza nikwamba option ya zero betting ipo kwenye in play games only(mechi zinazochezwa kwa muda huo live). Kwa mfano unakuta mechi Barca 2:1 madrid dakika ya 80 halafu madrid akafunga ikawa 2:2 hapo madrid ndo winner kwasababu inachukuliwa dakika ya 80 ulibet matokeo yalikuwa 0:0. Ikitokea mechi hiyo ikisha 3:2 itakuwa ni draw coz timu zote zitakuwa zimefunga goli 1:1 baada ya dakika ya 80 ulio place your bet.
 
Kwa dizaini hii ndugu yangu utakuwa unamwaga pesa bure na kulia gundu tu, kama unafanya betting kujifurahisha ni sawa, lakini kama unataka kubet kwa faida unatakiwa ukokotoe vizuri. Probability ya kupatia matokeo ya timu kumi na nane kwa mpigo ni moja kwa milioni 18, siyo kwamba haiwezekani, nasema tu kwamba ni ngumu. Kama unataka betting ikupe faida na siyo hasara basi unatakiwa ujifunze strategies za profitable betting.
Hahahahah sio kwamba jamaa ameweka hapo ili mchambue?!
 
Hawa leo ushindi lazima
1.Porto
2.Rosenborg
3.Norwich
4.Chesterfield
5.Bournemouth
6.Fleetwood town
7.Eindhoven
8.Tromso
9.Bayern Munich 11
10.Bury
11.Wolfburg 11
12.Viborg
13.Hertha Berlin 11
14.Orenburg
15.Cerro porteno
16.Wolves
17.Jonkopings
18.Espanyol
Weka wote hao wanashinda ukipuuza shauri yako. Kesho mtanikumbuka.

mdau...ukishinda huu mkeka utamua na undugu na MUNGU .....kama sio MTUME S.A.W basi YESU....KHAAAAA TIMU 19....ZOTE ZISHINDE KWA PAMOJA....!!!!
 
Hahahahah sio kwamba jamaa ameweka hapo ili mchambue?!

Hahaha! Mkuu, kauli yake hii hapa......"Weka wote hao wanashinda ukipuuza shauri yako. Kesho mtanikumbuka"
Inawezekana lakini, siyo kwamba haiwezekani, lakini kwa mikeka ya jinsi hiyo ukishinda mmoja basi usubiri miaka kumi kushinda mwingine!
 
mdau...ukishinda huu mkeka utamua na undugu na MUNGU .....kama sio MTUME S.A.W basi YESU....KHAAAAA TIMU 19....ZOTE ZISHINDE KWA PAMOJA....!!!!

Hahahahahah yeye amechukua zile timu zenye uwezekano wa asilimia kubwa kushinda, ambazo pia zina odds ndogo, ndiyo maana amejiaminisha...
 
WATFORD WIN
MARITIMO 12
exeter 2_4 goals
c.brugge over 2.5
leyton gg&3+
gateshead gg
besktas more goals secondhalf.hapo?
 
vwakuu nataka nimpe notigam forest win na cardif win naombeni ushauri
 
AJJACIO gg&3+,oss gg&3+
randers gg&3
rishoej gg&3+
follo gg+3+
austria u19 gg&3+
spain gg&3+
 
Kwa dizaini hii ndugu yangu utakuwa unamwaga pesa bure na kulia gundu tu, kama unafanya betting kujifurahisha ni sawa, lakini kama unataka kubet kwa faida unatakiwa ukokotoe vizuri. Probability ya kupatia matokeo ya timu kumi na nane kwa mpigo ni moja kwa milioni 18, siyo kwamba haiwezekani, nasema tu kwamba ni ngumu. Kama unataka betting ikupe faida na siyo hasara basi unatakiwa ujifunze strategies za profitable betting.
Hao wote wanashinda leo
. kesho majibu nitakupa.
 
hao wote wanashinda leo
. Kesho majibu nitakupa.

kesho mbali...timu zote ni za leo.....usiogope.... Feedback a.k.a mrejesho...a.k.a mshindo nyuma.....ntakupa mwenyeweeeee...... Voborg kapigwa moja ....half tym......timu ya kwanza tu.... Tuendeleeee
 
Back
Top Bottom