b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,114
Porto
Man city
Espanyol.
Liwalo na liwe... Natia tena sijui ni cap au 45mins, nataka kilo 2 za jioni
Porto
Man city
Espanyol.
BURY ni wasengee yaani.wameniaribia Siku yangu mamakeee zaoo wameongoza hadi dakika ya 80 wakasawazishiwa wakapigwa la pili 84' yaani.wamenivurugaa ******* nlkua nile PESA MINGI,,PESA ndefu maninaaa!!!Sitawabetiaaa Maishaa yoteee !!!
Narudia tena BURY ni Wasengee mamaaee zaooo!!!!!aaaaghhhhrrrr!!!!!!!Timu zoootee zimetiki.kasoro waoo maninaaa aaaaaghhhhhhrr!!!!!!!!!!
Lakini huyu MNYISANZU ni wa noma wote hao wanaelekea kushinda...Duh! wakishinda wote hao kweli we mkali. Umetupia dau la bei gani hapo mkuu?
Valencia siji kumsamehe
leo man city namuhofia kwa crystal palace...au mnasemaje wakuu
Mtoto wa nzi kwenye ubora wako.. tatizo mikeka kama ya odds 23 watu wanaogopa kutia mpunga wa maana
mshikaji hao wajamaa unaowatukana sijui kama wako jamii forum man punguza jazba ndio maana huu mchezo ukaitwa bet ndugu loooooh...!
Mimi nilikua mtu wa pili humu after CEO Rock city native kuanzisha huu Uzi mwaka juzi.
Lengo halikuwa kuuza odds. Wala sio lengo.
Wauza odds nendeni muanzishe Uzi wenu tu
Wakuu application ya meridianbet ntaipata wapi maana nimesearch playstore sijaiona.
so mnisaidie ntaipata wapi kwingine na niisearch kwa jina gani?
Mtoto wa nzi
dah tupo wengi mkuuBesktas wapuuzi kweli nimekosa laki 6 hivi hivi
dah tupo wengi mkuu