acheni kupanic jamani huu ni mchezo city kachezea kichapo that is football my nigass tugange ya kesho huu ndio unaitwa kula uliwe ukila unarukaruka ukiliwa unavumilia tu hahahahahah
Mbona mkeka wako wote ushakufa zamani. Kabla hata City hajafungwa
Asa jeshi me nlijua kwa city Leo ndo napata pesa ya mwezi ili mshahara wa mwamunyange nifanyie mengine... Ghafla bin vuu anachezea!???
acheni kupanic jamani huu ni mchezo city kachezea kichapo that is football my nigass tugange ya kesho huu ndio unaitwa kula uliwe ukila unarukaruka ukiliwa unavumilia tu hahahahahah
hii ni kazi sio MCHEZO......acheni kupanic jamani huu ni mchezo city kachezea kichapo that is football my nigass tugange ya kesho huu ndio unaitwa kula uliwe ukila unarukaruka ukiliwa unavumilia tu hahahahahah
Tafadhali mnijuze gemu za pesa kesho na kuendelea.. Hii 16 izalishe upya
Hii Economic Forum, kitu cha kwanza kitakachochoze ubunifu ni kuweka utaratibu wa kupatent ideas, na uvumbuzi. Watu wakijua kuwa wanaweza kufanikiwa wakigundua vitu na si mtu mwingine kufanikiwa basi watajitahidi kufanya utafiti na majaribio. The first project kwa kina mzee Iddi Simba ni kusukuma sheria ya Patent... kwani Patent ni zaidi ya copyright!!!
ushawahi labda kuweka 100000....!!!!!!! ukaliwa!!!!!!
tatizo muindi anaaga anaenda kazini na sisi tunaaga tunaenda kazini kitakachoamua nani yuko kazini kweli ni matokeo sasa leo mhindi alikua kazini sisi tulikua mchezoni kama city afu tukapoteza mzee naliwaga saa nyingine ni siri yangu unakumbuka curry akitoaga vikapu nilikua natupia mpunga kumbe nimekosea asubuhi nalia na moyo
Motherwell
CFR Cluj
Lillestorm
Molde
Braga
Twente....
City hiyu nilimwekea hela yote. Hata nauli nikampa nikimwamini. Yaani haya Crystal anawapiga mbili daaah. Hii mbaya sana
Nashindwa kupata usingizi. Siamini kilichotokea na siamini kama kweli nimeukosa huu mpunga. Pamoja na kuwrka matokeo magumu haya huyu mjinga mmoja kaniharibia. Inaniuma sana
Nashindwa kupata usingizi. Siamini kilichotokea na siamini kama kweli nimeukosa huu mpunga. Pamoja na kuwrka matokeo magumu haya huyu mjinga mmoja kaniharibia. Inaniuma sana