Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole kiongozi ila kwa jinsi ulivyobet najua ulikuwa ushajiandaa kisaikolojia kupoteza...maana hakuna kitu kigumu kama kubet draw.

Kweli mkuu. Ila sikati tamaa acha nipambane tu
 
Ushauri ndugu zangu naomba,,,nipo nabetia marathon Sasa takriban miez 2 naliwa tu,,,,timu hua naweka 5-8 sometime 10,,wap nakosea jaman???
 
Naombeni mnipe ujanja wa huu mchezo jamani maana kila siku mambo magumu kwangu niliwahi kubahatika mara moja tu lakini tangu hapo sijawahi kupiga mpunga hata siku moja!
 
Hatukati tamaaaa leo naanzaa hivi.......
San jose win
Monaco win
Juventus win
Mother well win
Sevilla win
Bristol city

Bristol city nampa last chance akizingua nafutaaa mazimaaa.
 
ILI KUONYESHA LENGO SIO KUUZA ODDS
just follow me on instagram Dragondreamx
LEO NAANZISHA PROJECT YA "KUZA MTAJI WA KU-BET"
kutoka 2500 kufika 100000 kwa muda wa siku nane
https://instagram.com/p/1KRw9yTY0Q/

Sipendi ona kila siku wenye makampuni ya betting wakila pesa zetu vijana
Na wakati mi naweza geuza betting a 'permanent work'
Wengi wanaona niko ki maslahi zaidi ila hapana
Tips zangu za tickets huwa
26 of 30 will win 100%

Kadri navyozidi pata support kubwa ya watu itakuwa inanipa moyo kwenye kuendelea na mwisho wa siku tukaacha
Kutukana ovyo baada ya mechi kuisha
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehee...POLENI SANA WAKUU. Mimi nilianzaga ku-bet mwaka 98, nimeacha mwaka juzi. Tafuta mtu yeyote aliekuja kupata utajiri kwa njia ya kubet, tangu dunia ianzishwe...Ila, mnaweza kubahatisha kubet bila kutumia odds, nendeni www.footballpools.com

Haya maneno ya huyu bwana ni uongo
Wako matajiri wakubwa sana duniani na kazi yao ni kubet
Na jioni ntawaorodhesha hapa
 
tatizo muindi anaaga anaenda kazini na sisi tunaaga tunaenda kazini kitakachoamua nani yuko kazini kweli ni matokeo sasa leo mhindi alikua kazini sisi tulikua mchezoni kama city afu tukapoteza mzee naliwaga saa nyingine ni siri yangu unakumbuka curry akitoaga vikapu nilikua natupia mpunga kumbe nimekosea asubuhi nalia na moyo

mdau acha tu...leo nayo siku
TUTOKE VIPI

SEVILA WIN
MK DONS WIN
ATLETICO MADRID WIN
BRAGA WIN
WOLFSBURG WIN

ODDS 7.23....!!!!!!!
 
ili kuonyesha lengo sio kuuza odds
just follow me on instagram dragondreamx
leo naanzisha project ya "kuza mtaji wa ku-bet"
kutoka 2500 kufika 100000 kwa muda wa siku nane
https://instagram.com/p/1krw9yty0q/

sipendi ona kila siku wenye makampuni ya betting wakila pesa zetu vijana
na wakati mi naweza geuza betting a 'permanent work'
wengi wanaona niko ki maslahi zaidi ila hapana
tips zangu za tickets huwa
26 of 30 will win 100%

kadri navyozidi pata support kubwa ya watu itakuwa inanipa moyo kwenye kuendelea na mwisho wa siku tukaacha
kutukana ovyo baada ya mechi kuisha
mdau usikonde .....tip zako insta mbona ziko poa tu...japo sijakufollow.... Nazionaga...na unazitupia tu kwa hewa.....bure.....
 
Last edited by a moderator:
Kuna ATM za kidwanzi sana hela yangu afu nazinguliwa... Ngoja nifumbe na macho kwa mikeka ya Leo najua jioni ntafurah...
 
mdau usikonde .....tip zako insta mbona ziko poa tu...japo sijakufollow.... Nazionaga...na unazitupia tu kwa hewa.....bure.....

tafuta uzi wake aliopost jana utaona alisema anauza bana hata inta anasema hivyo hivyo
 
motherwell
cfr cluj
lillestorm
molde
braga
twente....

mdau kwa lillestrom na molde....nashauri usiguse.....ligi ndio imeanza.... Hizi ndio mechi za kwanza.....
Molde vs oddballklub ...molde msimu uliopita kamaliza wa kwanza oddballklub wa tatu....game 5 zilizopita molde kashinda 3 oddball kashinda 2..... Na ligi ndio imeanza huwezi jua wameuza wachezaji au wamejipangaje.....kwa ligi za scandinavia ...norway ...denmark...sweden.....ni heri kusubiri mechi kadhaaa uone upepo sababu wanauza sana wachezaji.....

Lillestrom na start.....at least hii game.....lillestrom alimaliza msimu uliopita wa 5 ..start wa 14 ...ila sasa hawa nao mechi saba zilizopita lillestrom kashinda 4 start kashinda 3......

Ukitazama vizuri sio molde sio lillestrom mwenye rekodi nzuri dhidi ya wapinzani wao....... My take ....angalia walau zifike mechi 5 wajichekeche .....
 
Hatukati tamaaaa leo naanzaa hivi.......
San jose win
Monaco win
Juventus win
Mother well win
Sevilla win
Bristol city

Bristol city nampa last chance akizingua nafutaaa mazimaaa.

Huu mkeka kupigwa lazima. Bristol city wape sare dk 45 tu. Juve nao hivyo hivyo...
 
Back
Top Bottom