Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

lakers 201-215
oklahoma 201-215
atlanta 201-215....

0dds 14...

mmmmmmhhhh......!kaka hii itahitaji tujadiliane kwa kina sana alafu kama curry yuko free leo naomba mchango wake kwenye hili maana naona chenga tu hapo
 
wakuu,huu mkeka naomba maoni yenu
total odds 6.4
 
Attachments

  • 1428395925438.jpg
    1428395925438.jpg
    46.6 KB · Views: 234
Naona hali tete humu, sisi wa weekend mpaka weekend ngoja tukae pembeni.
 
READING U21 WIN
LIVERPOOL U21 WIN
ARSENAL U21 WIN
MAN UTD U21 WIN
BOHEMIANS U21 WIN
CLUB AFRICAIN WIN

ODD 12.96

LEO mnyonge nimetoka hivyo........!
 
C KAWAIDA YANGU KUPOST BEFORE LAKIN LEO NAHIS NAMUUA HUYU CJUI MHINDI AU MZUNGU CHUKUENI HII ILI KESHO TUWE PAMOJA KWENYE FOLEN!!!!!!!!! JUVE WIN,SEVILLA WIN,B.DORTMUND WIN. AUXERRE WIN. BLACKPOOL LOSE. MALAGA WIN.tukumbukane kwenye supu
 
Samahani mkuu, hizo unamaanisha over? mimi mgeni wa kikapu kaka.

hii sio under sio over....hii ni RANGE.......mfano LAKERS kapewa UNDER/OVER 206.5.... YAANI AWE CHINI YA / JUU YA 206.5..... SO ANAWEZA KUVUKA AU KUTOVUKA.... ILI UWE SAFE (JAPO SIO 100%)..... NDIO NAMPA AFIKIKISHE POINT 201ILA ASIVUKE 215...... KWA KUWA WAO WAMEMPA 206.5 BASI MI NAAMPA AANZIE 201(point 6 chini ya 206.5..ni kama kumpa UNDER 206.5).....NA HAPOHAPO ASIVUKE 215(point 8juu ya 206.5..ni kama kumpa over 206.5)....... NAFIKIRI NIMEELEWEKA
 
Hapo nimekuelewa vizuri mkuu, thanks!
 
Habari za leo waungwana vipi huyu jamaa kafilisika nini kuna jamaa yangu kashinda tangu juzi hadi leo hajaingiziwa mpunga wake na si kawaida ya m-bet kabisa, any note pengine kuna tatizo nini. Kitu ambacho kinanitisha mimi wa jana.
 
CS UNIVERS. CRAIOVA 1.58 WIN
CFR 1907 CLUJ 1.72 WIN
ATL. MADRID 1.27 WIN
MONACO 1.62 WIN
ODENSE 1.72 WIN
VFL WOLFSBURG 1.32 WIN
TWENTE 1.62 WIN
Stake. 10,000/=
Tigo Pesa
Number of bets: 7
Potential winnings: 205,646.7 Tzh
 
sita sahzu siku juve alipo toka draw nakuninyima mpunga. kuweni makini naye
 
Habari za leo waungwana vipi huyu jamaa kafilisika nini kuna jamaa yangu kashinda tangu juzi hadi leo hajaingiziwa mpunga wake na si kawaida ya m-bet kabisa, any note pengine kuna tatizo nini. Kitu ambacho kinanitisha mimi wa jana.

Alishinda sh ngapi?
 
Back
Top Bottom