Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wa Leo huu
 

Attachments

  • 1428425310325.jpg
    1428425310325.jpg
    42 KB · Views: 212
Of all the betting options why you guys are always going for a WIN option? magoli kama mkamai2+, 3+ is far betttimukushindaIl kushinda.
 
Kama ingekua kuna team za uhakika premier betting na meridian wangekua bankrupt kitambo sana.be prepared for anything.

Game za uhakika zinakuwepo ila betting is more psycological, tamaa ya kupata pesa nyingi watu wengi wanajaribu kuweka timu nying ambazo hawazifaham vizur au kama wanazifaham bas hawa angalii recent form ya tim zinazokutana wala status ya vikos..
 
Game za uhakika zinakuwepo ila betting is more psycological, tamaa ya kupata pesa nyingi watu wengi wanajaribu kuweka timu nying ambazo hawazifaham vizur au kama wanazifaham bas hawa angalii recent form ya tim zinazokutana wala status ya vikos..

Zote hizo hazisaidii,wakati naanza betting nilikua nachek head to head,recent form,form ya away na home, historia ya hizo team yani tips zote lakini nilikua kushinda kwa mbinde ila sikuiz najilipua tu naweka mkeka navojisikia na kusema kweli napata pata.
 
Hehehehehee...POLENI SANA WAKUU. Mimi nilianzaga ku-bet mwaka 98, nimeacha mwaka juzi. Tafuta mtu yeyote aliekuja kupata utajiri kwa njia ya kubet, tangu dunia ianzishwe...Ila, mnaweza kubahatisha kubet bila kutumia odds, nendeni www.footballpools.com

nakuhakikishia mm nitakuja kuwa tajiri kwa njia ya kubet,ngoja nifanye betting reform zngu kuanzia mwez ujao.
 
Of all the betting options why you guys are always going for a WIN option? magoli kama mkamai2+, 3+ is far betttimukushindaIl kushinda.

Ndiyo maana ya thread hii mkuu, kupeana mawazo! Hebu shusha mikeka tushauriane kaka.
 
Hahahaa, Mtoto wa nzi yuko serious na kazi. Jana kaweka mkeka mmoja hapa nikasema inahitaji roho ya paka kujiachia nao, odd 23 kitu kikatiki wakati aliweka buku 10 tu amejilaumuje! Ila wewe huwa unaniuwa na mikeka yako unatiririka na timu nyingi kinoma mkuu huogopi?

ndo hvyo 2nabahatisha labda ipo siku 2takula M 5 Kwa buku!.
 
Last edited by a moderator:
jaman hiv mechi ya rubin kazan vp nliangalia apdet nikakuta full time mojamoja sasa naangalia tena iko live dkk ya 70 mojamoja inakuwaje ebu nisaidien
 
timu moja moja ikiwa na odd ya kuanzia 1.5..... Najilipua coz inarudi na faida.... Ukiweka 100000 unazubiri 150000 faida 50000 .... Si timu ya uhakika..... Ukiweka 6 unasubiri 300000..... Kiroho safi... Mkeka ndio utata..... Ila timu moja moja unalipuka tu....ila ndio vile sio kila siku ni ijumaaa.....

kwel kaka nimi nataka nitenge M1 offical kama betting capital afu nianze ku2pia kuanzia elf 50 na kuendelea naona kuweka dau ndgo ndgo ni kuzidi kumuwezesha mzungu kila cku.
 
Wadauuu habarn za cku wakuu?vp maendeleo humu?nlpotea kdg kutoka na mizunguko ya kaz lkn ss nmerejea tena nazan kuanzia wknd hii ntakuwa mzgon mana nataka kwanza nisome raman nlpoteza sn hata mwenendo wa timu kwa ss cjui ila ntafwatlia ili kuweka kchwa sw,.KAZ INAENDELEA LABDA WAFUNGE OFIS ZAO.

back again , like a bad penny
 
Back
Top Bottom