Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

usione nalia humu aseeee..... Hiii kwangu ni kazi...... Imenisomesha....nasomesha watoto wa dada yangu st.mathews...nasomesha mdogo wangu udom.....nasomesha mpwa wangu lika moja ...anamalizia computer engeneering....a.i.a arusha....... Afu maza kastaaafu.... Mi ndio dingi...maza...braza...dogo...nnapotoa tip....NAIFIKIRIA MNOOOOOO......... MNAPOONA NAPOTEA JUA HIZO SIKU MECHI NI NYEUSI....

hahaha vzr sana,wazungu wanasema you fake it you make it.mwanzoni najua ulianza hvyo sa hv umeichukulia serious.
 
GSW win
Miami win
OKC v SAS under 115

Cc: mtoto wa nzi, pekesi, sumve2015, raimundo, steph curry & Basketball Co
 
GSW win
Miami win
OKC v SAS under 115

Cc: mtoto wa nzi, pekesi, sumve2015, raimundo, steph curry & Basketball Co

Nmecheki saizi wamevishusha viko 110 aisee washenzi wanaweza fikisha hao, niko nafatilia kuona ka ni safe.
 
Bristol city win
Mk dons. Win
Chalton. Win

Daah!!! Hawa chalton waxxenge wameniua hivi hivi
 
GSW win
Miami win
OKC v SAS under 115

Cc: mtoto wa nzi, pekesi, sumve2015, raimundo, steph curry & Basketball Co

labda tujadiliane hapo kwenye under nadhani tunge bett half ya kwanza wa win not under au over naogopa
 
Jamani ....mimi ni mchumi ....."principal econo
ist".... Mdogo tanzania ...... Pia mwanamichezo......... Nimesoma shule za kimichezo..... Na ni pro basketballer...volleyboller....n footballer....... Kwa kuwa ni mtu wa watu "economist"..... Nna post the obviously ones yaani "yawezekanayo"....... Luv u alll........
 
wewe tulia kwanza coz hapa ma pu*********u yangu yanauma bana tulia kwanza
 
Actually niiufata kosa nililolifa nikumuongeza Monaco,

Atlanta-Phoenix 201-215
New Orleans-Golden 201-215
LA Clippers-LA Lakers 201-215
odd 13

sijakuelewa hapo mkuu over under au unataka tudis?
 
Jamani ....mimi ni mchumi ....."principal econo
ist".... Mdogo tanzania ...... Pia mwanamichezo......... Nimesoma shule za kimichezo..... Na ni pro basketballer...volleyboller....n footballer....... Kwa kuwa ni mtu wa watu "economist"..... Nna post the obviously ones yaani "yawezekanayo"....... Luv u alll........
Mkuu naomba tuition kwenye basket ball nimefuatilia data ulizozitoa nikaingia kwenye systerm nikashidwa kabisaa kwa sababu sijawahi , na wala sijui kubet basket ball . nisaidie tu leo nijue 201 - 215 inamaana gani na inapatikana kwenye opition ip ya bet type? zaidi ya hapo ubarikiwe saaana nimeiga od zako za football naona zimejib japokuwa niliweka dau dogo.
 
Back
Top Bottom