BRAZA....SIFAGI NA WAWILI..... NA WOTE WANAONGOZA..... KAMA UMENIFATA....UKILIWA NI pm.....nkurudishie pesa yako.....
hongera mtoto wa nzi mimi sikukufata ila ninafurahia mafanikio yako hongera sana big up man........!
BRAZA....SIFAGI NA WAWILI..... NA WOTE WANAONGOZA..... KAMA UMENIFATA....UKILIWA NI pm.....nkurudishie pesa yako.....
Daah Nashukuru gem ya Sevilla imemalizika nimempiga Muhindi Hela ya Supu
Nlkua hivi...
Wolsfburg win
Sevilla win
Shefild utd win
Braga win
Mk Dons win
Atletic Madrid Win
Odds 13.5 x 1000
Tsh 13500/=
Sisi twaitaga Si haba wao waitaga ya Supu.....
Hahaha nimecheka sana leo watu walivomuongelea Monaco baada ya kuwauaa kwenye daah...
Wengine wamemuita Monaco Mshenzi,,hafaii yulee,,amezeeka yule,Sijui alkula maharage ya wapi yule,,......
.......
Kesho nayo ni siku!! Tujipange upya kumliza Kanjibai...
Good night Wadau...
mkuu naomba tuition kwenye basket ball nimefuatilia data ulizozitoa nikaingia kwenye systerm nikashidwa kabisaa kwa sababu sijawahi , na wala sijui kubet basket ball . Nisaidie tu leo nijue 201 - 215 inamaana gani na inapatikana kwenye opition ip ya bet type? Zaidi ya hapo ubarikiwe saaana nimeiga od zako za football naona zimejib japokuwa niliweka dau dogo.
Freee tips...
Atl.madrid
wolfsburg
milton keynes dons
braga
sevilla.....
Kama una mtaji...jipange toa mmoja.....sifagi na wawili kwa mkeka......
usione nalia humu aseeee..... Hiii kwangu ni kazi...... Imenisomesha....nasomesha watoto wa dada yangu st.mathews...nasomesha mdogo wangu udom.....nasomesha mpwa wangu lika moja ...anamalizia computer engeneering....a.i.a arusha....... Afu maza kastaaafu.... Mi ndio dingi...maza...braza...dogo...nnapotoa tip....NAIFIKIRIA MNOOOOOO......... MNAPOONA NAPOTEA JUA HIZO SIKU MECHI NI NYEUSI....
Mkeka wangu leo
Barca WIN
Celtic WIN
Real madrid WIN
PSG WIN
maoni yenu wadau kabla sijajitungua Mtoto wa nzi
Ni uhakika lakini odds zake ni ndogo sana...
0990 08-04 17:30:00 Drina-Sarajevo Final Score 2 1.52
0993 08-04 17:30:00 Zvijezda Gradacac-Siro
Final Score 2 1.50
1141 08-04 21:00:00 Barcelona-Almeria
Final Score 1 1.05
0664 08-04 21:30:00 Rapid Bucharest-Targu
Final Score 2 2.85
0092 08-04 21:45:00 Celtic-Partick Thistle
Final Score 1 1.12
0515 08-04 21:45:00 Hearts-Alloa Athletic
Final Score 1 1.25
1311 08-04 14:30:00 Albirex Niigata-Geylan
Final Score 1 1.52
1293 08-04 21:30:00 Altach-Salzburg
Final Score 2 1.47
0343 08-04 19:00:00 Dinamo Zagreb-Rijeka
Final Score 1 1.70
1303 08-04 22:00:00 P S G-St. Etienne
Final Score 1 1.40
0791 08-04 21:15:00 St. Gallen-Basel
Final Score 2 2.00
0741 08-04 20:00:00 Bielefeld-M'gladbach
Final Score 2 1.55
0731 08-04 17:45:00 Terek Grozni-Zenit
Final Score 2 1.80
0732 08-04 19:00:00 Kuban-Ural
Final Score 1 1.55
0150 08-04 20:00:00 Jagodina-Partizan
Final Score 2 1.60
0249 08-04 19:00:00 Teplice-Plzen
Final Score 2 1.90
0693 08-04 21:45:00 Legia-Podbeskidzie
Final Score 1 1.35
0679 08-04 19:00:00 Videoton-Ujpest
Final Score 1 1.35
0651 08-04 19:00:00 Ludogorets-Levski
Final Score 1 1.60
0768 08-04 18:30:00 Trencin-Banska Bystric
Final Score 1 1.25
0824 08-04 17:00:00 APOEL-Omonia
Final Score 1 1.72
------------------------------------------
Total: 600.00
------------------------------------------
Max payout: 5000000.00
Min payout: 5000000.00
Mkuu lazima uwe unaweka mtego wa kukamata vidagaa amabao ni rahisi lakini usisahahu kuweka mtego wa kukamata nyangumi ijapokuwa ni ngumu ipo siku ataingia laini utamkamata kiulanini nchana kweupe. Ukiangalia kwa umakini timu nilizoziweka ni wababe katika ligi zao kwa hiyo inaweza ikatokea chance ndogo zote zikashinda. ngumu kumeza