the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
huyu monaco sijui yani nawaza tu
Monaco hata c team dah
huyu monaco sijui yani nawaza tu
Monaco hata c team dah
Baada ya Monaco kumaliza mechi kwa sare ya 0..0 dhidi ya Monteplier naona Borussia Dortmund pia wameshaanza UJINGA wao...tena wamekatwa 2..1 hadi saivi dakika ya 35 anyway tusubiri tuone
Alafu mbaya nyingine ni Sheffild kupigwa 1...0 mpaka saivi dakika ya 18,,pia tunasubiri......
Mmh Villa 1....qpr 1.dakika ya 19 saivi.....aiseee...napumulia Mashine!!
tafuta mtaji angala kilo 5 mpaka m 1.anza kubet timu 1 au 2 au 3 mwisho odd zisipungue 1.5 na zisizidi 2
mtoto wa nzi,sumve,curry wazee tukutane kwa kikapu jamani
Hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa Monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.
Mkeka wa Leo huu

hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.
ulimuona monaco kwenye tip yangu!!!!!!
leo monako na borrusia dortmund watatukanwa sana humu subiri uone sumve hutoamini macho yako
unakumbuka ushauri wako juu ya hizi timu?
ahsante,, nmeweka kilo
Mtoto wa nzi Sumve 2015 kuhusu extra time hii imeiaaje?
Unamaana gani? kwenye football mwisho ni dak 90 tu na zile injury minutes basi baada ya hapo ka matokeo ni tofauti na ulivyobet bas umeliwa, vivyo hivyo kwenye kikapu overtime haihesabiwi.