Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
Man city nae kaukalia huko
Hawawezi rudisha
Hawawezi rudisha
Man city nae kaukalia huko
Hawawezi rudisha
Man City! Ndo timu iliyoniachisha kubet soccer, game ya QPR 2-2 na kipigo cha Burnley 1 bila! Man City noma kuwabetia!
Besktas daaah
Besktas daaah
man city....!!!!!!! si bora hii laki ningeweka kwa ule uliotiki...... aseeeee..... uliotiki mgumu nimeweka 10000.....huu mwepesi nimeweka 100000...... duh..... yaaani faida 25000....... LA MAMA YAKE CITY.....SIMBETIII TENA..... SIKU YA BURNLEY KANINYIMA....SIKU YA QPR KANINYIMA....KAMA ROMA KANINYIMA WIKI6 MFULULIZO....JUZI NAMUACHA ANAMFUNGA NAPOLI..... HAKI YA MUNGU.... WACHEZAJI PRO ACHA WALINDWE...... WANGEKUA BONGO....NINGEFUNGWA GEREZANI...... NINGEWACHAPA RISASI.... HAKI YA MUNGU...... SI UKIWA NA MALI YA ZAIDI YA 5MILLIONS UNARUHUSIWA KUMILIKI BUNDUKI..... JUST LAST WEEK ...NIMEWEKA LAKI6.... LECH POZNAN AKAPIGWA NA TIMU YA DARAJA LA3....!!!!KWELI!!!! ..... .NIMEUMWA HAPA..... WIFU LEO AKANIPA MTAJI LAKI 120000...... 10 nkaweka ulioshinda ...laki kwa uliobaki na city..... GAME HAIJAANza nkasema niweke backup..... nimpe crystal...point 5 ....10000....nirudishe nusu hasara 50000.....mtandao umegoma....... DAH......MAN CITY.....SICHEZI TENAAAAAAAA
man cityiiii dahhh wamenitememesha laki nilkuwa nshaanza kubajet duh
man city....!!!!!!! si bora hii laki ningeweka kwa ule uliotiki...... aseeeee..... uliotiki mgumu nimeweka 10000.....huu mwepesi nimeweka 100000...... duh..... yaaani faida 25000....... LA MAMA YAKE CITY.....SIMBETIII TENA..... SIKU YA BURNLEY KANINYIMA....SIKU YA QPR KANINYIMA....KAMA ROMA KANINYIMA WIKI6 MFULULIZO....JUZI NAMUACHA ANAMFUNGA NAPOLI..... HAKI YA MUNGU.... WACHEZAJI PRO ACHA WALINDWE...... WANGEKUA BONGO....NINGEFUNGWA GEREZANI...... NINGEWACHAPA RISASI.... HAKI YA MUNGU...... SI UKIWA NA MALI YA ZAIDI YA 5MILLIONS UNARUHUSIWA KUMILIKI BUNDUKI..... JUST LAST WEEK ...NIMEWEKA LAKI6.... LECH POZNAN AKAPIGWA NA TIMU YA DARAJA LA3....!!!!KWELI!!!! ..... .:NIMEUMWA HAPA..... WIFU LEO AKANIPA MTAJI LAKI 120000...... 10 nkaweka ulioshinda ...laki kwa uliobaki na city..... GAME HAIJAANza nkasema niweke backup..... nimpe crystal...point 5 ....10000....nirudishe nusu hasara 50000.....mtandao umegoma....... DAH......MAN CITY.....SICHEZI TENAAAAAAAA
Mimi hata la kuongea sina... Makumake city
HAPA NDIPO NAAMINI KUNA KUPANGA MATOKEO..... YAANI...KUNA MIKEKA HAPA TUNACHEKI SOKA ....KAMA WATU 8 TUMEMBAKIZA MAN CITY...... MIMI 1.8 MILLS.... .... JUMLA NI KAMA 20M..... na hiii ni uku vijijini MALAMPAKA .... JE WA MJINI NA KWENGINEO DUNIANI ..JUMLA NI SH NGAPI!!!!! AKIPEWA POUND HATA 20M.......SIO HASARA KWA BETTING COMPANIES.........