Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sasa ndio naomba mniambie hizo option za curry ziko wapi maana natafuta hadi nalia yani

Wewe umechukua point first quater, timu kushinda kipindi cha kwana chukua hiyo option ya result first quater ambapo katika mechi hiyo washington ana 1.38
 

Attachments

  • 1428096530555.jpg
    1428096530555.jpg
    19.7 KB · Views: 143
Wewe umechukua point first quater, timu kushinda kipindi cha kwana chukua hiyo option ya result first quater

asante mkuuu hapo nimekupata yani ningeliwa mpaka yesu arudi looooooh.....!asante mkuuu
 
Wewe umechukua point first quater, timu kushinda kipindi cha kwana chukua hiyo option ya result first quater ambapo katika mechi hiyo washington ana 1.38

mkuuu leo nimepatia na odd zimekuja hizo hizo loooh asanyeni wote maana nahisi hata kule kwa wachambuzi walikua wanaelekeza poa sasa tatizo nikawa sijui odd zipi ziko wapi loooh
 
Tuuchambue huu wadau kesho tujue tunaamkaje ktk EPL
 

Attachments

  • 1428100715604.jpg
    1428100715604.jpg
    38.2 KB · Views: 200
Tuuchambue huu wadau kesho tujue tunaamkaje ktk EPL



Hapo kwa keshoo tupo sawa isipokua Hiyo game ya Leicester na Westham naona kama ubashiri mgumu kidogo ila mi naona nitampa Leicester na hapo pengine naona nitampa Everton pia, ngoja wadau waje tuone zaidi. Maamuzi magumu ndio yana hela
 
Tata 200000 wema 50 kweny mikeka mi 4 j 2 uamke na millions 20 angalizo usitoe yote kenye duka 1 .......
 

Attachments

  • 1428104535619.jpg
    1428104535619.jpg
    52.6 KB · Views: 253
Kesho nitakwenda hivi;
Chelsea Win
Swansea win
Man Utd win
Man city Win
Bayer Leverkusen Win
Wolfsburg win
Real Madrid win
Burnley vs Tottenham GG
hapo vipi wakuu?
 
Back
Top Bottom