Under 3.5 hiyoInplay
Copa mexico
Leon vs celaya
Over 4 goals full time
Odds: 1.49
Matokeo ni set 2:0 (6:3)(7:6)Wakuu naomba ufafanuzi hapa kdg, kwny hii game iliyochana mkeka ... ni tennis, nilimpa Ruben Bemelmans ushindi wa handicap 2.5
Game iliisha kwa yeye Ruben kupigwa set 2 bila majibu. Sasa kwa kuwa nilimpa Handicap ya 2.5, nilitegemea iwe ni won bet kwa sababu itafanya matokeo kuwa 2:2.5 ... au natafsiri vibaya hii handicap? msaada tutani wadau
*******BET WOOOOON*****Inplay
Copa mexico
Leon vs celaya
Over 4 goals full time
Odds: 1.49
******BET WOOOON****Inplay
Copa mexico
Club universidad vs Lobos
Over 2 goals full time
Odds: 1.65
Toa mrejesho wa faida mkuuGood Morning watu wa nguvuuuu
Jana ilikuwa siku nzuri kiasi chake japo siku ilianza kwa mbinde hiyo ni kawaida ilipofika jioni mambo yakaanza kidogo kuwa safi. Muhimu ni kuendelea kupambana.
Kwa mara nyingine Asante sana mkuu DeePond huwa unacheza kama Pele. Uzidishiwe kheri zaidi mkuu.
Na leo nayo siku. MAPAMBANO YAENDELEE.
Ooh ok ... basi sikujua km nabet handicaps za magoli, nilifikiri ni sets. Shukran sn kwa ufafanuzi mkuu. NimekusomaaMatokeo ni set 2:0 (6:3)(7:6)
Maana ake hiyo handicap ni ya magoli
Magoli yalkua ni (6:3) kwa first set na ilkua ni 7:6 kwa second set
Jumla unapata ruben kapigwa magoli 13:9
Ambapo hapo handicap ya +2.5 kwa Ruben inakua bet lost.
NB:
Tennis haina handicap ya set +2.5,
Mara nyingi set huishia mbili, ukipigwa mbili mfururizo bila majibu.
Biashara inakua imeishia hapo.
Ikitokea mmetoka sare set mbili za mwanzo, kinachofata hapo mtacheza wee hata km ni Massa 3+ ni lazma tu mpk mshindi apatkane.
Ni hayo tu mkuu
Toa mrejesho wa faida mkuu
Mkuu mimi nina lengo la 20,000/= Kwa siku, ambayo ni 140,000/= kwa wiki, ambayo na 560,000/= kwa mwezi.
Hii ni wiki ya tatu toka nimeanza.
Wiki ya kwanza nilifikisha 195,000/=
Wiki ya Pili nilifikisha 115,000/
Wiki hii ya tatu nina mtihani kidogo ila naamini nitavuka lengo maana siku mbili zilizopita nilikutana na Dhoruba ya kuunguza mtaji wangu wote kwa makosa yangu mwenyewe.
Nikadeposit tena 100,000/= nayo ikatafunwa hadi ikafika hadi 30,000/=
Nikaanza kujikongoja kwa msaada wa mkuu DeePond sasa hivi nina 90,000/=
Mimi ni Junior kwenye hili jambo ila kila siku najifunza jambo na nimejiwekea malengo ya kukusanya kidogo kidogo kwa sababu ndiyo uwezo wangu katika INPLAY Betting kwa muda huu.
Nimeandika fasta fasta ila hope nimeeleweka.
MAPAMBANO YAENDELEE
mnapataje hizo hela, sijaelewa wadau.Mkuu mimi nina lengo la 20,000/= Kwa siku, ambayo ni 140,000/= kwa wiki, ambayo na 560,000/= kwa mwezi.
Hii ni wiki ya tatu toka nimeanza.
Wiki ya kwanza nilifikisha 195,000/=
Wiki ya Pili nilifikisha 115,000/
Wiki hii ya tatu nina mtihani kidogo ila naamini nitavuka lengo maana siku mbili zilizopita nilikutana na Dhoruba ya kuunguza mtaji wangu wote kwa makosa yangu mwenyewe.
Nikadeposit tena 100,000/= nayo ikatafunwa hadi ikafika hadi 30,000/=
Nikaanza kujikongoja kwa msaada wa mkuu DeePond sasa hivi nina 90,000/=
Mimi ni Junior kwenye hili jambo ila kila siku najifunza jambo na nimejiwekea malengo ya kukusanya kidogo kidogo kwa sababu ndiyo uwezo wangu katika INPLAY Betting kwa muda huu. Nitakua mdogo mdogo
Nimeandika fasta fasta ila hope nimeeleweka.
MAPAMBANO YAENDELEE
Big up kijana No retreat No SurenderMkuu mimi nina lengo la 20,000/= Kwa siku, ambayo ni 140,000/= kwa wiki, ambayo na 560,000/= kwa mwezi.
Hii ni wiki ya tatu toka nimeanza.
Wiki ya kwanza nilifikisha 195,000/=
Wiki ya Pili nilifikisha 115,000/
Wiki hii ya tatu nina mtihani kidogo ila naamini nitavuka lengo maana siku mbili zilizopita nilikutana na Dhoruba ya kuunguza mtaji wangu wote kwa makosa yangu mwenyewe.
Nikadeposit tena 100,000/= nayo ikatafunwa hadi ikafika hadi 30,000/=
Nikaanza kujikongoja kwa msaada wa mkuu DeePond sasa hivi nina 90,000/=
Mimi ni Junior kwenye hili jambo ila kila siku najifunza jambo na nimejiwekea malengo ya kukusanya kidogo kidogo kwa sababu ndiyo uwezo wangu katika INPLAY Betting kwa muda huu. Nitakua mdogo mdogo
Nimeandika fasta fasta ila hope nimeeleweka.
MAPAMBANO YAENDELEE
Kuna mti wamepanda wanaamka wanautikisa unaangusha pesa ..mnapataje hizo hela, sijaelewa wadau.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mti wamepanda wanaamka wanautikisa unaangusha pesa ..
acha ukaa, unataka utajiri peke akoKuna mti wamepanda wanaamka wanautikisa unaangusha pesa ..
Nakulaje peke yangu jombaaa ..... Hizo hesabu wameshazipiga humu mpaka basi.... Fungua kurasa za nyuma utaziona.....acha
acha ukaa, unataka utajiri peke ako