Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazeee stephan curry ,mtoto wa inzi,sumve popote mlipo hebu angalieni hapo hata kama tumefilisika ila tupigane tutashinda tu
 

Attachments

  • 1428266000393.jpg
    53.1 KB · Views: 220
Boston juzi wamuniua kwa kufungwa kwao.. jana wameniua kwa kushinda away.. hawa boston sijui nimewekosea nini
 
Hawa leo ushindi lazima
1.Porto
2.Rosenborg
3.Norwich
4.Chesterfield
5.Bournemouth
6.Fleetwood town
7.Eindhoven
8.Tromso
9.Bayern Munich 11
10.Bury
11.Wolfburg 11
12.Viborg
13.Hertha Berlin 11
14.Orenburg
15.Cerro porteno
16.Wolves
17.Jonkopings
18.Espanyol
Weka wote hao wanashinda ukipuuza shauri yako. Kesho mtanikumbuka.
 
Boston juzi wamuniua kwa kufungwa kwao.. jana wameniua kwa kushinda away.. hawa boston sijui nimewekosea nini

maisha ya kubet yanapokua magumu ndio hapo usihofu ni wakati tu huo utapita mimi nimejikuta nimeweka hela kwenye katim kabovu kweli leo muindi ni mchawi yani aminini hilo
 
Boston juzi wamuniua kwa kufungwa kwao.. jana wameniua kwa kushinda away.. hawa boston sijui nimewekosea nini

hahahaaa...! mkuu, jana nilipima upepo ukawa haueleweki. Nikatulia zangu tuliiiiii. Niliiona game ya indiana tuu ndio ilikuwa na uhakika. zingine zote niliziona nyeusi tiiii.
 

mmh huo utitiri hatacwashaur bora uzikate kakund jaman fiken sehemu mthamini hii ka kaz zingine acheni utan
 
psg jana waliniudh eti wanapigwa dkk 45 yaan alibaki yeye tu kudraw hlf time nikunje kilo afu akapigwa dkk ya 43 mwehu kweli huyu
 
Muhindi kagoma kutoa hela Leo huku mwanza....anasema mpaka j5 hii sio fair
 
Wazee naomba mnisaidiee katika hili. Je kunauwezekano wa kubett Kwa tgo Pesa Kwa anajua anisaidiee maelekezo
 
Barcelona Jana walichonifanyia! Nilikuwa niamke na 190000/= nilimpa cap a'fu anashinda kagoli ka1 tu.
 
Wadau embu nisaidieni, hiii zero bet, iko vp hiii. Mwenye kuijua vizuri tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…