Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimereject mabonus yao nikawithraw ikakubali. Na hela imeingia
Hiyo ilikua majaribio kuona challenges kwenye hii site
Sasa nafanya rasmi
 
Wakuu,bado short ya elf 16 kwenye mtaj inanitafuna had saa hii haijarud,,..leo napo naona malue lue tu,...jana nilijitusu elf 10 kwenye hali kama hii,nkalambwa,sasa leo stak hata kuwaza
 
Nyota yangu chafu, Inplay ninazoziwahi ni zile vimeo tu.... Zinazoshinda nakuta tayari ishapita doh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…