Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,bado short ya elf 16 kwenye mtaj inanitafuna had saa hii haijarud,,..leo napo naona malue lue tu,...jana nilijitusu elf 10 kwenye hali kama hii,nkalambwa,sasa leo stak hata kuwaza
Mimi ndio maseke mpaka jana nilikiwa na loss ya 30000 sasa hivi tayar nishapata loss ya 5000[emoji17] [emoji17]
 
Mimi ndio maseke mpaka jana nilikiwa na loss ya 30000 sasa hivi tayar nishapata loss ya 5000[emoji17] [emoji17]
Pole mkuu,na hyo avatar yako ya 2pac huyo jamaa sura yake hua inatia huruma sana bas na unavyonungunika hvyo daah yan naona mule mule[emoji23][emoji23]
 
Mshkuru mungu kwa kutoiona

Melbourne ananyukwa ipasavyo uko

Upepo umebadilika,
Sungura anamla simba.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii mida inaonekana sio hyo,..ngoja nipotee kidogo,..maana naona had mkuu wa kitengo ametulia
 
Wakuu nataka kufanya multiple bet kuanzia mda huu,...kwenye 1xbet nafanyaje
 
Ngoja nianze kazi sasa. Pallacanestro Reggiana over 15.5 points third quarter. Odds 1.38
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…