Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukran sana mkuu,
Kwa nyongeza safi namna hiyo
 
Uko sahihi mkuu
 
Kweli kabisa, ukitaka ela ya faster utaishia kulia. Labda ukacheze BIKO
 
Naona haya tungefunika kombe tu, on betting mim si mpya sijaanza jana wala juzi ni kitambo, ila sasa nimeamua kuhamia live ambako ndio mgeni, si kwamba mwenendo wa kamali siujui, nilipokuwa nasema nina gundu namaanisha sina upepo kwangu ni kitu cha kawaida tena wakati mwingine najikuta mpaka nacheka odd ya hela naiacha naivagaa ya mkasi..

Kitu kikubwa tu mniwie radhi kwakuwa sikujua kauli yangu kama inamkwaza mtu..


Tupigeni kazi.
 
Imeisha hiyo,
MAPAMBANO yanaendelea
 
Kazi kazi mkuu
 
Duuuh hatar mnooo nimeset quick bet sasa ukigusa option bet ina process.... Kwa bahat mbaya nimeplace game ya juve huko Romania eti Under 11.5 conner ft... Hatariii
 
WAKUU SHARING IS CARING,ME NIMEJILIPUA HIVI LEO,KAMA KUNA MTU ANAHITAJ BASI UFUATE.
NB:USIOGOPE ODDS KUBWA SOMETIMES KUNA TIMU ZINA ODDS HAD (1.18 DIRECT WIN) NA BADO ZINAHARIBU,KARIBUNI.
 
Inplay

Estonia.

Levadia vs Santos

Multi goals: 1-3

Odds: 1.30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…