Jalloftips.com, kuna uchambuzi wa mechi wa hali ya juu almost 80% hawakoseagi hawa aiseeNdugu zanguni habari za usiku,jamani naomba ndugu zangu kama kuna application yakuchambua match vizri naomba ili na mm niweze kuchambua kabla ya kuweka mzigo.Make vipigo vimezidi jamani natumia princess tusaidiane jamani ndugu zangu .
Wa wapi huyuBamberg over 12.5 pts first Q
Aisee shukran maana nilikosea kubet nikaweka stake yoooote ila umetick santeeBET WON
......DONE DEAL... Ilikua na 1.28Bamberg over 12.5 pts first Q
Bamberg yupo ligi ipi!?......DONE DEAL... Ilikua na 1.28
Darusafaka naona wanadelay sana. Kama mmeweka big stake alafu hamna roho ngumu sell huo mkeka upate nusu hasara.Over 14.5 pts darusafaka Q3 odds 1.41 basketball hiyo
Inakuja BILA tatzo kabisaNimedelete mikeka 1xbet kudadeki afuu hata sikumbuki... Hivi ikitiki wataniwekea pesa kweli????
Europe euroleague basketbal kaka.Bamberg yupo ligi ipi!?
Poa kiongozi.Europe euroleague basketbal kaka.