Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inplay

Netherland

Jong ajax vs Go ahead

Over 1.5 goals full time

Odds: 1.28
 
Nilianza vizuri leo mkeka wa kwanza nilipiga 17000 kwa jero baada ya hapo nimeoshewa vibaya sana nikatoa 10 nikantumia dingi nmebaki na mtaji bok 6
 
Darusafaka naona wanadelay sana. Kama mmeweka big stake alafu hamna roho ngumu sell huo mkeka upate nusu hasara.
Dah,

Hiyo ni timu ya pesa, ikiiamua huwa inamwaga mvua ya vikapu kama haina akili nzuri.

Kama umempa "over" just relax

Ni suala LA muda tu, akiipata rhythm ya mchezo UTAMTAKA.
 
Bado mambo hayajakaa sawa, nafight bado.
Yan mi kanj hapa namdai elf16 zangu lakin sina raha siku nzima,yaan,daah maajab,akat unaeza ukatoka ukagonga gambe na msos na dem mkatumia zaid ya 100,na wala hukumbuk.daah.maisha haya,acha kanj atulambe tu
 
Endeleeni wadau. Mm basketball nimecheza zaidi ya mara moja zinazofananA naona zinagoma kuplay. Daaah Ngoja nifatile footbal huku nangojea crevna zvezda mts aingie.
 
Endeleeni wadau. Mm basketball nimecheza zaidi ya mara moja zinazofananA naona zinagoma kuplay. Daaah Ngoja nifatile footbal huku nangojea crevna zvezda mts aingie.
Mie nimebugi huko nimeingia kichwa kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh,

NEC nijmegen Leo naona amerudi kwny rhythm yake ya kugawa dozi

Alkua na kipindi kigumu sn hapa katikati

Nahisi ni muda mwafaka sasa, Kumtoa kwny blacklist yangu.

SIJAMBETIA ILA ANANIKOSHA SN JINSI ANAVODOMINATE MCHEZO.
 
Wakuu nikdraw 1×bet inaandika iv tatizo nini natumia voda
 

Attachments

  • Screenshot_20180309-172911.png
    17.2 KB · Views: 36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…