Huyo telstar ndio kazingua hapo
Telstar amaua mkeka
Hongera sana Mkuu....Nilichukua Roma, Monaco na Braga... Hao Netherlands hawana maana, nilishawaweka kwa black list kitambo
BET WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON
View attachment 709948
BET WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON
View attachment 709952
Hapa salute mpambanaji.....[emoji120] [emoji120] [emoji120]BET WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON
View attachment 709948
BET WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON
View attachment 709952
Kashima over 3.5 cornersWazee wa inplay kimya
Nimechelewa washaitoa ngoja nitembee na 4.5 nistake lowKashima over 3.5 corners
Mie niliiwahi wakati bado ana kona 1. Bado namdai kona 1 tu nipate mpungaNimechelewa washaitoa ngoja nitembee na 4.5 nistake low
*******BET WOOOOOON*****Inplay
Argentina premier
Talleres vs atletico Tucuman
Next corner 5- Talleres
Odds: 1.41
********BET WOOOOOON******Argentina B nacional
Atletico vs all boys
Over 1.5 goals full time
Odds: 1.45
*******BET WOOOOON*****Inplay.
Argentina B
Talleres vs Cologniales
Race to 7 corners- Talleres
Odds: 1.83
mkuu kinachonishinda hpo nikutuma hiyo email maana kila nikicheck sielewi naona tuu cc.subject,arial sijajua mi naandika wap?info-en@1xbet.com>. wapekee malalamiko hawa jamaa wako vzuri, hawa wa kuchat nao wanazingua wanaonekana hawajui chochote yani ni weupe kichwani. Mimi kama naona ni issues ngum huwa sijisumbi kupurukushana nao naenda moja kwa moja dawati la wataalam. juzi kati account yangu iliniletea maruweruwe yani nikilog out nikirudi ID numba zinabadilika yani nikawa na ID kama 7 mikeka yangu na visenti vyote vikapotea. hao jamaa wa inbox nilichat nao Hanna lolote la maana nililosaidiwa nikazama kule kumbe issue yenyewe ilikuwa ndogo tu account ikakaa sawa na mpunga ukarudi bahati nzuri na ile mikeka ikawa ilishatick
kuhusu hapo sub, inaonekana sub imeganyika dk ya 46' halafu ukichunguza kwa upande wa sofascore , alama ya sub iko Mara mbili ktk kipindi cha dk ya 46' huku moja ikiwa na alama ya mshare mwekundu
Umeongea vema sana.Good Morning wakuuu
Jana ilikuwa ngumu kama jiwe
Mtaji ulishuka hadi 25,000 lakini nashukuru nilipambana nikalala na 84,000/=
Vipindi vigumu ndiyo vinatukomaza na kutufanya tuufahamu vizuri zaidi huu mchezo.
Mapambano yaendelee
Umeongea vema sana.
Hakika wewe ni mpambanaji wa kweli.