kesho mbali...timu zote ni za leo.....usiogope.... Feedback a.k.a mrejesho...a.k.a mshindo nyuma.....ntakupa mwenyeweeeee...... Voborg kapigwa moja ....half tym......timu ya kwanza tu.... Tuendeleeee
luton win
southend win
stevenage win
derby win
.....odds 23.....
kesho mbali...timu zote ni za leo.....usiogope.... Feedback a.k.a mrejesho...a.k.a mshindo nyuma.....ntakupa mwenyeweeeee...... Voborg kapigwa moja ....half tym......timu ya kwanza tu.... Tuendeleeee
heshima yako mzazi....tuombee hizi dkika 10 kisiaribike kitu...mimi nliukopi wako kma ulivyo nkaongesea norwich na bournemouth......asa nimepata laki ya fastafasta dahhhhhh.. .weraweraaaaa
Hawa leo ushindi lazima
1.Porto
2.Rosenborg
3.Norwich
4.Chesterfield
5.Bournemouth
6.Fleetwood town
7.Eindhoven
8.Tromso
9.Bayern Munich 11
10.Bury
11.Wolfburg 11
12.Viborg
13.Hertha Berlin 11
14.Orenburg
15.Cerro porteno
16.Wolves
17.Jonkopings
18.Espanyol
Weka wote hao wanashinda ukipuuza shauri yako. Kesho mtanikumbuka.
BURY ni wasengee yaani.wameniaribia Siku yangu mamakeee zaoo wameongoza hadi dakika ya 80 wakasawazishiwa wakapigwa la pili 84' yaani.wamenivurugaa ******* nlkua nile PESA MINGI,,PESA ndefu maninaaa!!!Sitawabetiaaa Maishaa yoteee !!!
Narudia tena BURY ni Wasengee mamaaee zaooo!!!!!aaaaghhhhrrrr!!!!!!!Timu zoootee zimetiki.kasoro waoo maninaaa aaaaaghhhhhhrr!!!!!!!!!!
Remember to follow me on instagram Dragondreamx
Kama umechoka kuliwa na mhindi unataka nunua tips za 100% win
Au za bure za 90% win na 75% win
Mmmnh...tushafikia huku aisee? mbona mapem sana mkuu?
alafu jana kawapa watu mkeka wakaliwa hahahahahahahahaha........!stephan daa na wewe utaanza kuuza mikeka karibuni....
Mtoto wa nzi heshima kwako kamanda... Odds 23 ulizioteaje hizi!??
hatari sana huyu jamaaaaa.....kuna mikeka anawekaga humu utazani masiara mwisho wa siku inatiki....nliikosa mikeka miwili nikajilaumu leo nkasema usnitanie nimetembelea hiyohiyo nkaongeza norwich na bournemouth....nmepiga mahela ya fastafasta.....
Hahahaa...sio tu kawapa, naikumbuka hata timu ilokula malaki ya watu jana, inaitwa Qarabag, siku zote mbona sie tunashirikiana hapa, ni bora na sie tuanze kuuza maana zetu Steph Curry, Raimundo na wengineo woooote humu, ni za uhakika miaka miwili sasa ukiondoa wiki hii, tukiliwa tunaliwa wote na tukipata tunapata wote tena tunapeana na za supu.
Sasa naona umuhimu wa ile point ya Raimundo, embu ngoja nicheki na Invisible tujue cha kufanya aisee.