Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakika Leo ni jumapili nzuri, I believe most of you friends Leo mmepata pesa za kulipa kodi plus kula balimi wiki nzima
 
In play

Turkey

Galatasaray vs konyaspor

Multi goals: 2-3

Odds: 1.61
 
Inplay

Las Palma's vs Villarreal

Over 2.5 corners first half

Odds: 1.4
 
Tote[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Basel na Lazio wameninyima 450000 ....

Ngoja nitengeneze mkeka wa kulalia ila sitowasahau hao wajinga walivyonikosesha huo mpunga.....

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Basel na Lazio wameninyima 450000 ....

Ngoja nitengeneze mkeka wa kulalia ila sitowasahau hao wajinga walivyonikosesha huo mpunga.....

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Hiyo Kawaida mkuu....calm down...nilishawai nyimwa...1.3Mil na mpuuzi A. Madrid kuanzia siku ile mpka leo hii sijawai muweka huyu nyangau kwenye mkeka wangu
 
Back
Top Bottom