rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Lazio kasepa na 89000 yangu...[emoji33][emoji33][emoji33][emoji26]Nishapoa mkuu ila hao jamaa najuta kwanini niliwaweka .....
Lazio kasepa na 89000 yangu...[emoji33][emoji33][emoji33][emoji26]Nishapoa mkuu ila hao jamaa najuta kwanini niliwaweka .....
*****BET WOOOOOON******
Sometimes haya mambo bhasi tu afu leo ilikuwa siku nzuri ya kupiga pesa kwa kuweka bet slip....Lazio kasepa na 89000 yangu...[emoji33][emoji33][emoji33][emoji26]
In play
Laliga.
Las Palma's vs Villa real
Race to 7 corners - Las Palma's
Odds: 2.20
Yani hapa nawazaa sijui Niuzee tu huu mkeka maana naweza kosaa hata hako ka5000 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] porto huyuu
Kweli mkuu ngoja niwe na subiraa kama ipoo ipoo tuuMkuu kwenye bet kuliwa ndo mchezo wenyewe huo. Muhimu ni kukomaa na kuongeza umakini
Yani hapa nawazaa sijui Niuzee tu huu mkeka maana naweza kosaa hata hako ka5000 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] porto huyuu