Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,nmecash out salio likasoma kwa account,nikawithdraw lkn mpaka sa hizi haisomi,msaada jinsi ya kuwapata mlipa ili wanipe changu
 
Jamani naomba kuuliza dakika za nyongeza timu ikishinda huwa zinahesabiwa ni hilo tu
 
2dy n murua sana
 

Attachments

  • Screenshot_2018-03-11-22-26-48.png
    Screenshot_2018-03-11-22-26-48.png
    26.3 KB · Views: 41
  • Screenshot_2018-03-11-22-26-36.png
    Screenshot_2018-03-11-22-26-36.png
    40.6 KB · Views: 37
Beting imekua ngumu sana
Kwang acha tukutane next season
Kwenye hii kaz

Mikeka miwili hyo kla
Moja na mchawi wake

Ngoja nirud zang
Chihcart na mmu kwanza

IMG_20180311_223646_590.jpg
IMG_20180311_223709_087.jpg
 
Back
Top Bottom