Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakika Leo ni jumapili nzuri, I believe most of you friends Leo mmepata pesa za kulipa kodi plus kula balimi wiki nzima
 
Leo toti anaenda na mtaji wooote
Mkuu mimi pia nilikuwa kama wewe kutokuwa na subra baada ya kuweka mkeka ila kwa kupitia comments za deeppond na wengine nilijifunza subra, mpira dk 90. Kuwa na imani na ulichoweka.
 
In play

Turkey

Galatasaray vs konyaspor

Multi goals: 2-3

Odds: 1.61
 
Inplay

Las Palma's vs Villarreal

Over 2.5 corners first half

Odds: 1.4
 
Tote[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Basel na Lazio wameninyima 450000 ....

Ngoja nitengeneze mkeka wa kulalia ila sitowasahau hao wajinga walivyonikosesha huo mpunga.....

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Basel na Lazio wameninyima 450000 ....

Ngoja nitengeneze mkeka wa kulalia ila sitowasahau hao wajinga walivyonikosesha huo mpunga.....

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Hiyo Kawaida mkuu....calm down...nilishawai nyimwa...1.3Mil na mpuuzi A. Madrid kuanzia siku ile mpka leo hii sijawai muweka huyu nyangau kwenye mkeka wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…