Hii betting n kazi nzuri sana kwa baadhi ya siku.
Mm nakaa na baadhi ya vijana kila siku wananiomba niwafundishe hii kazi lakn nilisha wambia mara kadha subirin kwanza. Nafanya hiv ili niwasome akili zao kwanza kuna mmoja nilimwambia leo nimepigwa Tsh.10000/= akasikitika sana. Hii kaz inahitaj ujasili wa uwekezaji sana kwanza huwa nafkria sana mtu wa kwanza aliwezeje kuwekeza kwenye hii biashara? Kwanin hakuogopa?
Sasa kwann ss tuogope na kwann watu wengi hasa kwenye hiz nchi zetu maskin wanaona ni kazi ya kihuni?
Nikitafakal sana juu ya hayo baadhi ya siku huwa siogopi kukopa kwa ajili ya investment ya hii bizness.
Thanks kwa wakuu wote hopa ndani kuendelea kupambana kuwa family moja. Sijutii kuwepo hapa.